migogoro ya ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalali wa mjini

    Msaada wa kisheria kuhusu Ardhi

    Habari wakuu. Kuna mhusika ana eneo lake ukubwa ni heka moja Kwa vipimo vya macho lakini ndani ya Hilo eneo Kuna nguzo ya umeme laini kubwa ile ya 33. Sasa anataka kupeleka wataalamu wa Ardhi kwajili ya kupima ili kuweka mawe ya Ardhi (Bikoni). Gharama zimekaaje hapo wakuu na Je anaweza...
  2. GEBA2013

    Rais Samia aagiza migogoro ya ardhi wilaya Kilindi utatuliwe haraka

    Rais Samia ameagiza waziri ya ardhi na tume yake ya clinic ya ardhi wapige kambi kilindi wahakikishe migogoro yote ya ardhi itatuliwe. Wilaya ya kilindi ndyo inayongoza kuwa na migogoro ya ardhi tanzania.kuna migogora ya ardhi 267.wasababhshi wakuu ni viongozi.Kwa hili tunamshukuru rais samia
  3. K

    Migogoro ya Ardhi Dodoma: Jinsi viongozi wanavyohusika na udalali wa viwanja

    Habari wanajamii, Mimi ni mkazi wa Dodoma tangu mwaka 1998, na kwa miaka yote hii, nimeshuhudia migogoro mingi ya ardhi, ambayo mara nyingi inachochewa na viongozi tuliowapa dhamana. Imekuwa kawaida kwa wengi kuwania nafasi za uenyekiti wa mtaa, udiwani, na nafasi nyingine za uongozi si kwa...
  4. The Watchman

    Waziri Ndejembi aagiza kusimamishwa kazi kwa afisa ardhi Handeni kwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza kusimamishwa kazi kwa Afisa Ardhi wa Halmashauri ya Mji wa Handeni kutokana na kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi katika eneo hilo. Ametoa agizo hilo Februari 20, 2025, wakati wa ziara ya Waziri Ndejembi katika...
  5. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Pinda: Kuunda timu ya wataalamu kuwabaini wamiliki wa mashamba na kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey Pinda amesema ataunda timu ya wataalamu kufanya utafiti kuwabaini wamiliki wa mashamba ikiwa ni jitihada za kutatua migogoro ya ardhi wilayani Kiteto pamoja na mgogoro wa mpaka kati ya wilaya hiyo na Wilaya ya Chemba. Kupata matukio...
  6. T

    Mwongozo wa Usuluhishi wa Migogoro ya Ardhi Katika Mabaraza ya Kata, 2021

    Wadau, Kuna huu mwongozo ulitolewa na Katibu Mkuu TAMISEMI mwaka 2021. Bati mbaya haupo kwenye tovuti ya wizara. Nitaupata wapi? Kama mtu ana nakala yake tafadhali nitumie. Shukrani sana.
  7. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi azuia uendelezwaji wa eneo lenye mgogoro Sumbawanga

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mwekezaji wa Shamba la Malonje lililopo katika Kijiji cha Sikaungu Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutoendeleza eneo ambalo lina mvutano kati ya mwekezaji huyo na wananchi wa kijiji hiko. Mhe. Ndejembi ametoa...
  8. Papaa Mobimba

    LGE2024 Isihaka Mchinjita: Suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kuiondoa CCM madarakani

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo Bara, Isihaka Mchinjita @MchinjitaIR, amesema kuwa suluhisho la kudumu la kumaliza migogoro ya wakulima na wafugaji ni kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambacho anadai ndicho chanzo cha matatizo hayo. Akihutubia wakazi wa kijiji cha...
  9. Mindyou

    LGE2024 Chama cha NLD chatoa ahadi ya kushughulikia changamoto za migogoro ya ardhi wilayani Handeni

    Wagombea nafasi ya Uenyekiti kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa Chama cha National League of Democracy (NLD) wamebainisha kuwa zipo kero ambazo watakwenda kuzifanyia kazi kwa maslahi ya wananchi kwani ni za muda mrefu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye mkutano wao wa hadhara ikiwa ni...
  10. Wizara ya Ardhi

    Naibu Waziri Geofrey Pinda: Fanyeni mapatano kwenye migogoro ya ardhi inayowakabili

    Ikungi – Singida Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida kufanya mapatano ya amani kwenye migogoro ya ardhi inayowakabili katika maeneo yao. Naibu Waziri Pinda amesema hayo Novemba 07, 2024 kwa niaba ya...
  11. mwanamwana

    Pre GE2025 Mwita Waitara: Sina mpango wa kuachia Jimbo, ila naweza nisirudi Bungeni serikali isipotatua changamoto Tarime Vijijini

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
  12. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi: Zingatieni taaluma yenu katika kuwahudumia Watanzania

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Novemba 1, 2024 kilichofanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma. Katika kikao hicho, Mhe Ndejembi amewataka wataalamu wa idara hiyo kufanya...
  13. Wizara ya Ardhi

    Hati mikili za Ardhi 310 zatolewa Jijini Mwanza, Waziri Ndejembi awafikia na kusikiliza wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa kuwa ardhi ni mtaji waitunzi ili iwatunze. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe...
  14. Wizara ya Ardhi

    Klinik ya ardhi yaendeshwa mtaa kwa mtaa Ilemela

    Ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Mwanza imeendesha Klinik ya Ardhi katika halmashauri ya Ilemela mtaa kwa mtaa ili kuwafikia wananchi wengi kwa haraka na kuwapatia huduma za ardhi wanazohitaji katika maeneo yao. "Kama mnavyofahamu tumekuwa na haya mazoezi ya Kliniki za Ardhi mara kadhaa, na...
  15. Chachu Ombara

    Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

    Rais Dkt. Samia amewarudishia kanisa katoliki Mkoani Arusha eneo lao walilokuwa wanalimiki kwa muda mrefu na bada uongozi wa Mkoa kwa kushirikiana na halmashauri ya Jiji la Arusha na kisaha kuwataka kanisa katoliki kulipia eneo lao milioni 500 kitu ambacho Rais Samia ameutaka uongozi wa Mkoa...
  16. Wizara ya Ardhi

    Naibu Waziri Pinda: Hekima itumike kutatua migogoro ya familia inayohusu ardhi

    HEKIMA ITUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA FAMILIA: NAIBU WAZIRI PINDA Na. Joel Magese, ROMBO Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kutumia hekima katika kupata suluhisho la migongano ya kifamilia inayohusu ardhi kabla ya kufika mbele ya vyombo...
  17. Juice world

    Ni mambo gani ya kuzingatia unapotafuta Kiwanja ili usinunue chenye Mgogoro?

    Aisee wakuu hili jambo sio poa, kuna jamaa huku alinunua Kiwanja mwezi uliopita milioni 8 kumbe kile Kiwanja ni Cha mgogoro aisee na katika kupeleleza watu zaidi ya wa 3 wameshauziwa jamaa akaanguka kapelekwa Muhimbili leo kapoteza maisha. Hivi wadau kumbe utapeli wa viwanja bado upo ni hatari...
  18. Thom Munkondya

    Kwanini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania?

    Kwa nini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania? Na Thom munkondya. Viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya juu sana kwasababu upimaji ni gharama sana. Ukiona sehemu viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya chini basi ujue hivyo viwanja havijapimwa ila vimetangazwa kama vimepimwa...
  19. Mkalukungone mwamba

    LHRC: Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) leo, tarehe 20 Agosti 2024, kimezindua Ripoti yake ya Taarifa ya utoaji msaada wa kisheria kwa mwaka 2023. Wakili Msomi Fulgence Masawe ameeleza Umri wenye migogoro mingi zaidi ya Ardhi ni miaka 45 hadi 54. Katika kesi za ardhi 66% ni Wanaume lakini...
  20. Yoda

    Tanzania bado ina ardhi kubwa ya kuongeza mamilioni ya watu? Vurumai za ardhi za nini?

    Watanzania wengi wanapohamasishwa kuzaa watoto wachache kwa uzazi wa mpango huwa wabishi sana na mojawapo ya hoja yao kubwa ni kwamba Tanzania bado ina ardhi kubwa sana na inahitaji watu wengi zaidi, cha kushangaza tena ni kwamba wawekezaji wageni wanapopewa ardhi kunazuka vurumai kubwa sana na...
Back
Top Bottom