Mwenyekiti Ngome ya Vijana- ACT Wazalendo, Abdul Nondo amesema "Serikali iwatumie vijana wengi wahitimu ambao ni Surveyors, Town planners. Wapo mtaani hawana kazi Serikali iwape majukumu hawa vijana waipime ardhi nchi nzima bure bila kudai fedha kwa Wananchi.
"Serikali itapata faida nyingi...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Makazi pamoja na Idara ya Upimaji na Ramani Agosti 13, 2024 ambacho kimefanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma.
Soma Pia:
Waziri Ndejembi ataka uadilifu na...
Mwaka 2018 mzee wangu alilitoa shamba la familia lenye ukubwa wa heka 4 likiwa pamoja na miti ya mbao.
Maamuzi ya kutoa sadaka shamba la familia aliyafanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote ndani ya familia, ni jambo lililosababisha migogoro ambayo mpaka leo imeathiri familia yetu...
Rais Samia Suluhu Hassan ameonya Wanasiasa, hususani wabunge na Madiwani kuanzisha vijiji katika maeneo ya hifadhi pindi wanapoona chaguzi zinakaribia na hawakubaliki.
Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara alipozungumza na wananchi wa Ifakara katika...
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Kampeni ya TUTUNZANE MVOMERO 2023-2028 wilayani Mvomero mkoani Morogoro inayohamasisha wafugaji kufanya ufugaji wa kisasa ikiwemo kuwa na maeneo yao ya kulima malisho ili kuondokana na migogoro kati yao na wakulima na watumiaji wengine wa ardhi kila uchao...
SERIKALI YAAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KATI YA WANANCHI NA JESHI LA MAGEREZA WILAYANI NGARA MKOANI KAGERA
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea malalamiko ya mgogoro wa Ardhi kati ya Wananchi na Jeshi la Magereza katika Kijiji cha Rusumo Wilayani Ngara Mkoani Kagera.
Kauli hiyo...
Niaje waungwana
Japo hakuna mtu mwenye dhamana ya kumpangia raisi kile anachoamua, lakini katika hili la kumtoa Silaa ardhi na kwenda kumtupa huko kwenye habari kwa kweli Rais wetu amefanya kosa la kiufundi sana.
Jerry alikuwa ashaanza kuwashughulikia vibaka na matapeli wa ardhi wote, yaani...
My Take
Naunga mkono hoja.Hawa matapeli waliojificha kwenye mgongo wa dini washughulikiwe.
Kwanza wao wanataka kwenda Mbinguni Kwa nini wawe wanahangaika na Mali za Duniani? 😂😂😂
---
MKuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ageuka Mbogo Mkutanoni mara baada ya Askofu kufanya udanganyifu mbele ya...
Sisi wakazi wa Matuga, Kibaha Vijijini tuna changamoto ya kusumbuliwa na Maafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji, wapo katika mchakato wa kutupora ardhi yetu kiasi cha kutumia Askari Polisi na Mgambo kutekeleza nia yao hiyo.
Hawa Watu wa Halmashauri ya Kibaha Mji huwa wanakuja kwenye makazi na...
Waziri wa ardhi nimekusikia ukizungumza na wanachi wa Chamakweza. Umeahidi kuwa utatuma tume yako.Naona kama ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani shida hiyo ni Tanzania nzima.
Migogoro ya wakulima na wafugaji ni tatizo ambalo limeanzishwa na serikali kuruhusu kuwa nchi ya wachungaji badala ya...
Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa Efatha anatia aibu watumishi.
Hapo unakuta kuna wamama wanaamini Mwingira ndio mlezi wao wa kiroho wa kuwafikisha mbinguni, huku mchungaji mwenyewe anavunja nyumba za wananchi ili apate ardhi.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Watu kadha ambao wanatuhumiwa na Wananchi kwa kusababisha migogoro ya ardhi na kuuza maeneo kinyume na taratibu kwa wakazi wa Mbondole, Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Waziri Silaa ametoa...
Salaam, Shalom!!
Ndugu Respis Brasius mkazi wa Unga Limited ameahirisha kujitoa uhai wake baada ya kuvutiwa na hotuba ya ndugu Jerry Slaa aliyoitoa Bungeni kuhusu utatuzi wa migogoro ya Ardhi.
Iko hivi, Don Mmoja Unga Limited alishinda case mwaka 2012 iliyohusu baadhi ya wananchi kuvamia...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amejikuta akitokwa na machozi wakati akimsikiliza Makazi wa jijini Arusha ajulikanae kwa jina la Respis Brasius ambaye amekiri kwamba angekunywa Sumu kama asingesikiliza Hotuba yake ya Bajeti ya Mwaka 2024/2025 wakati akiwasilisha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, leo tarehe 30/5/2024 wamewasili Mkoani Mara kuelekea Wilaya ya Tarime kwenye mgogoro Kati ya Wananchi na Wamiliki wa Mgodi wa North Mara.
Pia soma
Nyamongo Kuna Shida gani na Wawekezaji wa Mgodi...
Katikati Hali ya kushangaza sna Jana mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Paulo makonda aliwaamuru takukuru kumkamata afsa ardhi bwan mwakyola kwa kutuhuma za kupokea rushwa kiasi Cha shilingi milion tano mbele ya RC na mbele ya rais Mwinyi.
Rc makondaa alisema "huyu bwan alivyo wa aajbu alipewa...
MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI
"Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi
"Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi.
Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi.
Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la kutafsiri sheria hivyo anachofanya ni sawa na kazi bure. Hivyo kumtaka kuanzia mahakamani katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.