Habari wanajamii,
Mimi ni mkazi wa Dodoma tangu mwaka 1998, na kwa miaka yote hii, nimeshuhudia migogoro mingi ya ardhi, ambayo mara nyingi inachochewa na viongozi tuliowapa dhamana.
Imekuwa kawaida kwa wengi kuwania nafasi za uenyekiti wa mtaa, udiwani, na nafasi nyingine za uongozi si kwa...