Tunakiwanja chetu .
Tuna doc zote lililipia hati toka 2019 tukawa tunafuatilia hati tunaambiwa file letu halionekani 2024 tukaenda kuchukua kibali cha ujenzi ili tuanze kujenga tukapewa kibali cha ujenzi, ile tunataka kuanza ujenzi akaja dada mmoja alie kua jirani yetu anasema anahati na pale...