mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,155
- 2,704
Tunakiwanja chetu .
Tuna doc zote lililipia hati toka 2019 tukawa tunafuatilia hati tunaambiwa file letu halionekani 2024 tukaenda kuchukua kibali cha ujenzi ili tuanze kujenga tukapewa kibali cha ujenzi, ile tunataka kuanza ujenzi akaja dada mmoja alie kua jirani yetu anasema anahati na pale ni kwake.
Tuka baki na mshangao , kumbe nyuma yale kulikua na kigogo mmoja , Mungu alivyo mkubwa baada kama ya mwezi huyo kigogo wajiji akatuandikia na kutuambia eneo hilo kanunua kwa huyo jirani hivyo tuvunje nyumba yetu , dada tumefuatilia suala hili ni mwaka mzima unaenda na hatujapata haki Yetu , hao watu wa jiji walio husika kutoa hati yetu ndio wanao pambana na sisi , tulifika hadi kwa naibu waziri wa aridhi , naibu wazari akawapa kazi hao hao watumishi wa aridhi ili wamweleze hati yetu ilifutwaje akapewa mtu mwingine. , wee wakampanga waziri waka mwambia walitumia picha za satilite 🤣🤣🤣🤣 baada ya hapo naibu waziri kaja pale nyumbani anasema tuvunjiwe nyumba.
Docment zote tunazao kila kitu na barua za wawaziri wengine tuanzo walizo sema tatizo hilo litatuliliwe lakini wanaopewa kulitatuq ndo hap hao wananufaika wa hicho kiwanja kiko pale mbele ya sgr dodoma yaan acha kabisaa tumepaza sauti hapa ndo tuantafuta mafasi ya kumfikia Mama yetu mpendwa Rais Samia na waziri mkuu maana tumepewa siku saba wanakuja kubomoa nyumba yetu.
SERIKALI YA JIJI DODOMA IMEEAPA AMRI KUBOMOA NA KUONDOKA NDANI YA SIKU 7