mihogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Pre GE2025 DC Ludewa agawa Mbegu bora na za kisasa za Mihogo kwa Wakulima

    Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Olivanus Thomas amegawa mbegu Bora na za kisasa za mihogo zijulikanazo kaa jina la Chereko, Mkuranga 1 pamoja na Tarikass 2 ili kuleta tija katika uzalishaji zao hilo la wilayani humo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  2. KJ07

    Confession about wauza mihogo coco beach

    Salaam wana jukwaa. Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH. Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki kwa bei ya juu huku bidhaa hizo zikiwa sio za gharama hiyo kwa uhalisia. Sasa kama wanajamvi naomba...
  3. Paul dybala

    'Aslay mihogo' inawaka moto muda huu

    Moto ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana umezuka na kuteketeza Mabanda ya Muuza Mihogo maarufu katika fukwe za Coco Jijini Dar es Salaaam aitwaye Asley Mihogo.a Jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda yameisha Moto ambao mpaka sasa chanzo chake...
  4. Teslarati

    Nampongeza sana Aslay Mihogo, vijana kuweni wabunifu

    Last week nilipita pale nikapata zangu Samaki na Mihogo swaaaafi kabisa. Hio ni baada ya kuona matangazo mbali mbali instagram kuhusu Aslay Mihogo Vijana kuweni wabunifu, huyu anakuchanganyia Samaki na Mihogo hadi unajiramba ramba. Basi aje mrembo mmoja PM kesho niende nae tena
  5. D

    Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  6. BabaMorgan

    Kwa wingi wa mihogo inayoingia mjini wakina nani wanafanya tathmini ya kujua ipi inafaa kwa matumizi ya chakula?

    Sio Kila mhogo unafaa kwa matumizi ya chakula sababu Kuna aina ya mihogo ni sumu Sasa kama mnavyojua biashara ya mihogo ilivyoshamiri mjini wengi tunatumia kama vitafunwa assurance ya kitu kinacholiwa na binadamu ni jambo la msingi sana sababu hakuna mbadala wa uhai. Kuna mihogo ukila baada ya...
  7. Q

    Nahitaji kujua zaidi kuhusu kilimo cha muhogo

    Wakuu habari zenu naomba kujua zaidi kuhusu kilimo cha muhogo na changamoto zake na aina bora ya mbegu
  8. G

    Nauza mihogo

    Habari wa kuu ,Nina mashamba ya mihogo hekta 15 hapa Morogoro. Karibu tufanye biashara, mihogo mizuri inaiva maji kidogo sana. 0762502983
  9. Pdidy

    Mihogo ya Bukoba mitamu sana

    Hii mihogo ya Bukoba inatamanisha sana na very health
  10. U

    Leo nimekula mihogo mitamu na laini kama keki maeneo ya Mbuyuni

    Wadau hamjamboni nyote Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli! Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo ya kukaanga ambayo ni mitamu na laini sana utadhani ni keki Nimpongeze sana huyu mama mpishi...
  11. GoldDhahabu

    Mbegu bora ya mihogo inapatikana wapi Kanda ya Ziwa?

    Inayohitajika ni ya miezi sita na ya mwaka mmoja. Wakulima wengi wa huku wanaotesha ya miaka miwili. Ni wapi inapatikana ya kisasa, inayoweza kukomaa ndani ya kipindi cha miezi sita na mwaka mmoja? Mashamba ya kuoteshea yapo mkoani Geita na Kakonko mkoani Kigoma.
  12. Restless Hustler

    Wanaouza mihogo wanajiita wajarisiamali

    Tafsiri ya neno ujasiriamali ni kitendo Cha kuumiza akili(brainstorming) na kubuni jambo ambalo halijawahi kuwepo kwa lengo la kuisaidia jamii. Mfano wa ujasiriamali ni kama vile ugunduzi za engine, kompyuta na n.k. Sasa sikuhizi unakutana na mama muuza mihogo ya kukaangwa au mchicha anajiita...
  13. tawakkul

    Dkt. Slaa ushiriki wako kwenye mjadala wa Bandari unatuharibia

    Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga" Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki kutumika na haohao CCM kufichua kile ulicho kiita mkakati batili wa kushirikisha Lowasa na baadhi ya...
  14. Friday Malafyale

    Auawa kikatili kisa wizi wa mihogo Ruangwa Lindi

    Raia mmoja ambaye hajatambulika kwa haraka amekutwa amekufa kwa kuuliwa na kuchomwa moto hadi kufa. Kwa mujibu wa mtoa taarifa hii, tukio hili limetokea kijiji cha Luchelegwa Ruangwa Lindi njia inayoelekea Nachingwea kuna mwizi ameuawa na kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali usiku wa...
  15. Lycaon pictus

    Kula mihogo mibichi kunasababisha uwe zezeta

    Mihogo huwa ina sumu inayoitwa cyanide. Sumu hii hupatikana kwa wingi sana kwenye mihogo michungu. Lakini pia ipo kwa kiasi fulani kwenye mihogo ile mitamu. Sumu hii ni kali sana, ikizidi inaua mara moja. Ndiyo hata wqle majasusi unaona wnajiua kwa kutumia cyanide iwapo wamekamatwa na hawataki...
  16. Bridger

    KWELI Baadhi ya Mihogo huwa na sumu inayoweza kuua

    Kwa mujibu wa mdau mmoja, Disemba 12, 2019 aliona kwenye taarifa ya habari ya chombo kimoja wakitangaza kuwa familia moja imepoteza watoto wao wanne kwa kile kinachodaiwa kuwa walikula mihogo yenye sumu. Aidha, mada hii imekuwa inazungumzwa sana mitaani, huku ikiacha mashaka makubwa kwa kuwa...
  17. GENTAMYCINE

    Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

    Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
  18. M

    Update za wala mihogo

    We as Yanga fans would like to thank our president Engineer Hersi said for realizing that many of the fans who want our coach Nabi to be fired are those who do talk about Yanga all day long. We, as Yanga, like to know and recognize them like the women of Kampalange and Lulunge the first genta
  19. Poker

    Hivi sisi wala mihogo tunakwama wapi?

    Wakati wenzetu wakiendelea kuchanja mbuga huko kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, sisi wala mihogo kila siku ni visingizio na kutamba kumfunga Simba na unbeaten kwenye ligi ya mchongo. Sisi mashabiki lia lia wa mihogo fc tumechoka hii hali tunataka nasisi tuwe na mafanikio...
Back
Top Bottom