mihogo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jesus Mlokozi

    Lengo la rais wa yanga kuwaita mashabiki wa timu yake wala mihogo

    Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga. Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi walimtangulia walikuwa wakiheshimu mashabiki. Ni kweli mihogo ni chakula mambacho watu wengi...
  2. GENTAMYCINE

    Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  3. Toxic Concotion

    Baada ya Alkasus, mkongo,pweza, mihogo na nazi mbichi, sasa kuna mende

    Soon tutaanza kuona masela wanawinda mende vyooni badala ya mkongo. Hili pia ni fundisho la kutokuendekeza kula kula ovyo kwa michepuko. Kutoka mende mpaka kuwekewa kinyesi kabisa ni hatua chache tu. Kidume unajiona unapendwa kwa kukarangiziwa kumbe unalishwa makimba. Mbaya zaidi kuna maslay...
  4. D

    Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    Msiseme dmkali kasema! Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali! Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni...
  5. Buyaka

    Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  6. M

    Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea. Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
  7. Sky Eclat

    Chapati za mihogo ni chakula kizuri kwa afya pia kwa uchumi

    Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu. Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya kuchemsha au viazi vya kuchemsha na chai. Kwa kuwabadilishia tu unaweza kufanya hivi. Chemsha mihogo mpaka...
  8. K

    Serikali iwasaidie wakulima wa mihogo wa Wilaya ya Handeni

    Jioni hii kupitia taarifa ya habari nimeshuhudia taarifa ya kuhuzunisha sana jinsi wakulima wa mihogo kutoka Wilaya ya Handeni walivyopata hasara ya kuharibikiwa kwa tano 200 za mihogo. Wakulima hawa waliingia mkataba na Kampuni moja ya Dar es Salaam kununua mihogo yao yote watakayolima...
  9. I

    Mazao gani unayoweza kulima pamoja na mihogo na yakaongeza rotuba ya udongo?

    Naam mm ni mkulima ambae nimekua nikilima mihogo sana, sasa naona ardhi yangu inaanza kupunguza uzalishaji. Nimewahi kuskia nikilima mihogo pamoja na mazao mengine yanayoendana yataongeza rotuba ya udongo. Msaada, ni mazao gani hayo?
  10. Sky Eclat

    Jinsi ya kupika Ugali mweupe wa mihogo

    Jukwa la mapishi silioni, ninatamani kuelezea jinsi ya kupika ugali wa mhogo na ukatoka mweupe na si mweusi kama bada tulilo lizoea. Bada ninapenda sana tena liwe na mboga ya kuku wa kienyeji apikwe chukuchuku. Back to the topic. Mhogo uliochemshwa na kuiva kabisa ukiwa bado wa moto unwekwa...
  11. Sky Eclat

    Nimelima ekari tano za mihogo, itakuwa tayari kwa mavuno mwezi wa Ramadhani

    Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano...
  12. Kasomi

    Mbute: chakula kinachotokana na mihogo

    Mbute ni chakula kinachotokana na zao la muhogo ambao humenywa na kuvundikwa kwa maji halafu huchemshwa. Chakula hicho huwa kitamu kupita muhogo uliopikwa. Maandalizi ya mbute Mbute hutokana na zao la muhogo ambapo humenywa na kuanikwa kwa muda halafu huvunda kwa muda. Baadaye huchukuliwa na...
Back
Top Bottom