miili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    Brigedi za Al-Qassam ziliamua kukabidhi miili ya mateka wanne wa Kizayuni usiku wa kuamkia leo

    Wanakumbi. Msemaji wa Brigedi za Al-Qassam, Abu Obaida: Ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya Mafuriko ya Al-Aqsa kwa ajili ya kubadilishana wafungwa, Vikosi vya Al-Qassam vimeamua kukabidhi maiti za mateka wafuatao wa Kizayuni usiku huu: 1- Itzahi Idan 2- Itzik Al-Jar yake 3- Ohad Yahalomi 4-...
  2. O

    Kuna uhusiano gani kati ya kula pesa ya serikali na kunenepa ovyo

    Samaleykum, Hawa jamaa zetu hasa wa umri wa kuanzia 26 mpaka 35, hiyo miili mikubwa na mavitambi yasiyoeleweka mnavipata vipi haraka haraka, na ni juzi tu mmetoka shule mkiwa wembamba kama rula, yaani mtu mnafanya kazi sawa, dili za hapa na pale mnapiga wote fresh, lakin mwenzako anafutuka tu...
  3. Ritz

    Ni wakati sasa Serikali ya Tanzania kuibana Serikali ya Israel kutuambia miili ya Watanzania ipo wapi?

    Wanaukumbi. Balozi wa Tanzania nchini Israel Alex Kallua aliwahi kuiambia BBC kuwa ofisi yake pia imepata uthibitisho kutoka kwa mamlaka za Israel kuwa raia wawili wa Tanzania ni mateka wa Hamas. Jumapili yalifanyika makubaliano ya kudalishana wafungwa na mateka pamoja na miili ya marehemu...
  4. Mikopo Consultant

    Watu siku hizi Tanzania wanakufa wakiwa na sura za kung'aa, mashavu yamejaa, miili iliyonona, umri pungufu ya miaka 50; Hii sio trend ya kawaida

    Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa wa ugonjwa ABCDE na hata ukimuangalia marehemu unakuta kweli kachokaa, yaani magonjwa yamempiga...
  5. econonist

    Miili ya wanajeshi wa Hizbollah yaanza kuzikwa

    Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika...
  6. Magical power

    Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

    Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa💔🕊
  7. a sinner saved by Christ

    Je, ni dhambi au si dhambi,kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo?

    JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo. yaani kusuka nywele za mkono au mawigi kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
  8. W

    Maafisa Polisi wazuiliwa kuingia na Miili isiyojulikana Mochwari Jijini Nairobi

    Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS) Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
  9. S

    Je, ni kweli watu weupe (Wazungu, waarabu nk) miili yao ni ya baridi tofauti na weusi?

    Nimekua nasikia siku nyingi kua watu weupe mfano wazungu,waarabu n.k miili yao ina baridi kama barafu wakati wa tendo la ndoa tofauti na watu weusi,kuna ukweli juu ya nadharia hii?
  10. ngara23

    Watu wa Dar mbona miili yenu haitoi jasho, mna AC mapafuni

    Nina siku kadhaa nikikaa tu mahala kupata safari lager, watu laZima waniulize bro vip umetoka mkoa? Nasema hapana Wanasema unavyotoka jasho hivi wewe ni wa mkoa nami naamua kukubali. Jua na joto la Dar linachoma kama pasi, lakini watu miili mikavu wala hawajali wapo kawaida, nashangaa hawa...
  11. Ritz

    Picha zilizovuja za "Mateka" 6 wa Kiisraeli ambao miili yao ilipatikana katika Ukanda wa Gaza

    Wanaukumbi. Video hii ilitolewa mwezi Aprili na Hamas ikiwa na ujumbe ufuatao, kutoka mwa mateka wa Israel kwa kwa serikali ya Israel "Fanya kile kinachotarajiwa kwako na uturudishe nyumbani mara moja, au hii imekuwa kubwa sana kwako?" Baada ya muda huyo mateka na wenzake 5 waliuliwa na IDF...
  12. Erythrocyte

    Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
  13. Lady Whistledown

    Rais Ruto: Waliohusika na Mauaji ya Miili iliyotupwa Kware watakiona cha Mtema Kuni

    William Ruto ameagiza mamlaka husika kuharakisha uchunguzi kuhusu miili iliyopatikana ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki kwenye dampo la Kware huko Mukuru kwa Njenga, Jijini Nairobi ili wahusika washughulikiwe kwa Mujibu wa Sheria za Nchi Ruto amesema hakuna sababu yoyote inayoweza...
  14. BLACK MOVEMENT

    Polisi ya Kenya kushirikiana na LSK uchunguzi wa miili 11 ilio kutwa Dampo. Je Tanzania hii inawezekana?

    Naona taarifa la Jeshi la Police la Kenya likisema litashirikiana hadi na taasisi zingine za kiraia katika kuchunguza miili 11 ilio kutwa. Watashirikiana na Law Society of Kenya(LSK) hawa LSK ni mwiba mkari sana kwa Serikali ya Kenya hawa hawacheki cheki hawajipendekezi kama ilivyo Tanganyika...
  15. A

    DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  16. Mlaleo

    Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  17. Pang Fung Mi

    Napenda wanawake wafupi wenye miili midogo wapewe maua yao

    Shalom, Nitoe taarifa na niombe ushirikiano kwa wale ambae tunapenda hao viumbe wa size hizo taarifa fupi ya uzoefu ni kwamba ni watamu sana na wanajua kuisikilizia vizuri na ukiwa fundi wa mdalasini, mchaichai, pipi kifua na asali basi hutojutia. Tuwape maua wanawake wafupi wenye vishepu na...
  18. Pang Fung Mi

    Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  19. Messenger RNA

    Miili ya wanajeshi wa UAE waliouawa Somalia yawasili nyumbani

    Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE. Maafisa wa Imarati walisema...
  20. Suley2019

    Miili ya Watanzania waliofariki Septemba 2023 kurejeshwa nchini kesho Januari 25, 2024

    MIILI ya Watanzania watatu waliofariki dunia Septemba mwaka jana, kwenye ajali ya moto Afrika Kusini, inatarajiwa kurejeshwa kesho nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, James Bwana, Watanzania hao waliopoteza maisha ni Said Mohames Kisarazo...
Back
Top Bottom