miili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Miili 27 yatupwa kando ya barabara nchini Zambia

    Miili hiyo inayoaminika kuwa ni ya Wahamiaji wenye umri kati ya miaka 20 hadi 38 kutoka Ethiopia imekutwa kando ya barabara ya Ngwerere, Kaskazini mwa Mji Mkuu wa Lusaka. Inaaminika walifariki Dunia kwa kukosa hewa wakiwa njiani kusafirishwa. Zambia imekuwa ikitumika kama njia panda ya...
  2. Roving Journalist

    Kagera: Ratiba ya kuaga miili ya waliofariki ajali ya ndege ya Precision Air, Waziri Mkuu anazungumza, leo 07-11-2022

    Hivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Novemba 6, 2022 Mkoani Kagera. KAGERA: WAVUVI WALIOSAIDIA UOKOZI KUPEWA MAFUNZO MAALUM Wavuvi ambao wapo jirani na Uwanja wa Ndege wa...
  3. BARD AI

    Prof. Janabi apiga marufuku wagonjwa kusukumwa kwenye vitanda Muhimbili

    Ameagiza miili ya marehemu kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti kwa gari la wagonjwa (Ambulance), badala ya utaratibu uliokuwepo wa kusukuma vitanda ili kutoa heshima kwa marehemu kwa njia hiyo. Prof. Mohammed Janabi aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
  4. BARD AI

    Kaunti ya Nairobi kutupa miili ya watu 236 waliokosa kutambuliwa na ndugu

    Kwa mujibu wa taarifa, miili 218 ambayo haijachukuliwa na wahusika au ndugu wa marehemu imehifadhiwa katika Mochwari ya Jiji la Nairobi na mingine 18 iko Mochwari ya Mama Lucy. Wananchi wametakiwa kwenda kuitambua miili hiyo na kuichukua, na endapo hatatambuliwa au kuchukuliwa ndani ya siku 7...
  5. JanguKamaJangu

    Haiti: Waandishi wauawa kwa risasi wakiwa kazini, miili yao yachomwa moto

    Waandishi wa Habari wawili wameuawa kwa kupigwa risasi kisha miili yao kuchomwa moto na wahalifu katika Mji wa Cite Soleil wakati wakiripoti matukio ya vurugu yanayofanywa na makundi ya kihalifu. Mji huo umekuwa na matukio hayo, makundi tofauti yanapigana ili kutawala, hali inayolalamikiwa na...
  6. JanguKamaJangu

    Kupiga picha miili ya Watu waliokufa ni kosa, adhabu yake ni kifungo mwaka

    Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka...
  7. Mpinzire

    Tanga: Miili ya watu yaokotwa ikiwa kwenye Viroba

    Gazeti la Nipashe la Agosti 17, 2022 limebeba kichwa cha habari "Miili ya Watu yaokotwa kwenye viroba" TANGA: MIILI YA WATU YAOKOTWA IKIWA KWENYE VIROBA Miili ya watu wawili imeokotwa ikiwa imefungiwa ndani ya mifuko ya sandarusi 'viroba' katika Kitongoji cha Dibabara, Kijiji cha Kwastemba...
  8. JanguKamaJangu

    Miili 6 ya familia moja iliyouawa Kigoma inaweza kufukuliwa, mtoto aliyefariki maziko yake yasitishwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limezuia maziko ya James Januari (4) aliyejeruhiwa usiku wa kuamkia Jumapili na kufariki dunia Julai 5, 2022 katika Hospitali ya Rufaa Morogoro. Aidha, kuna uwezekano wa kufukua miili sita iliyozikwa Jumapili Julai 3, 2022 baada ya tukio la mauaji ya watu sita wa...
  9. JanguKamaJangu

    Miili ya watu 20 yakutwa katika Jangwa Nchini Libya

    Miili ya watu 20 imepatikana katika Jangwa Nchini Libya, ambapo waliookota miili hiyo wanaamini marehemu walipoteza maisha kwa kiu. Dereva wa lori ambaye alikuwa akipita jangwani hapo ndiye aliyeanza kuiona miili hiyo ikiwa kilometa 320 kutoka Mji wa Kufra na Kilometa 120 kutoka mpaka wa Chad...
  10. P

    Yalihamishwa makaburi na miili ndani, sembuse hawa Wamasai hai na nguvu zao

    Binadamu tunapenda mno kulalamika, haswa sisi tunaojulikana kama raia wa nchi ya Tanzania. Huwa hatuna dogo hata siku moja ni mwendo wa malalamiko. Zipo video zinazozunguka mitandaoni zikiwaonyesha wamasai wakihama kwa ridhaa yao wakielekea makao mapya huko Handeni. Wamejengewa nyumba na...
  11. JanguKamaJangu

    Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

    Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
  12. JanguKamaJangu

    Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

    Zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imebainika kuwepo katika Jiji la Kyiv ambao ni Mji Mkuu wa Ukraine baada ya kuondoka kwa majeshi ya #Russia, mingi kati ya hiyo ikiwa imeshambuliwa kwa risasi. Polisi wamesema kuwa hiyo ni ishara kuwa wengi waliuawa kirahisi. Idadi hiyo ya kutatanisha...
  13. masai dada

    Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

    Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo. By the way nahitaji mwanamke anaepiga mazoezi tupeane changamoto na fursa katika hili swala la kupungua...
  14. Chakorii

    Ninatafakari sana juu ya upasuaji wa miili (marekebisho) ya akina dada matokeo yake miaka kadhaa mbeleni baada ya upasuaji huo

    Habari watu wangu wa nguvu..mnaendeleaje!(nimewahamu)😊 Aiseh mbona hamtoi mialiko ya hii public holiday jamani😉fresh lakini😁 Sawa turudi kwenye mada husika. Ni kwa muda kidogo nime kuwa nikitafakari tunakoelekea miaka kadhaa mbele watoto wetu watakutana na changamoto zipi Hapo baadae...
  15. The Mongolian Savage

    Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  16. Suley2019

    Singida: Miili ya watu watano waliozama bwawani yapatikana

    Miili ya watu watano waliokufa maji katika bwawa la Ntambulo mkoani Singida imepatikana huku vifaa duni vikitajwa kuchelewesha kazi ya kutafuta miili hiyo. Kati ya miili iliyopatikana ni wa mwanafunzi wa shule ya msingi na juhudi zaidi zinafanyika kumtafuta Mohamed Ayub. Ajali hiyo ilitokea...
  17. Sam Gidori

    Marekani: Miili zaidi yapatikana katika jengo lililoporomoka Florida

    Wakati shughuli za uokoaji zikiendelea katika jengo la ghorofa 12 lililoporomoka siku ya Ijumaa nje kidogo ya mji wa Miami, Florida nchini Marekani, miili zaidi imetolewa katika kifusi cha jengo hilo. Watu 9 waliripotiwa kufariki kufikia siku ya Jumapili, akiwamo mtu mmoja aliyefariki akiwa...
  18. Analogia Malenga

    Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

    Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vimekutwa kwenye eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha Wilayani Mbarali mkoani Mbeya jana Jumatatu Aprili 27, 2021 huku vikiwa vimeharibika. Taarifa za vifo hivyo zilitolewa na baadhi ya wanavijiji waliodai kukimbia askari wa wanyamapori waliokuwa wakiwafukuza...
  19. The Assassin

    Nini sababu ya mabinti wa siku hizi wengi kuwa na michoro ya tattoo kwenye miili yao?

    Mabinti wengi siku hizi wana michoro ya tattoo kwenye miili yao, inaonekana kama ni mtindo, mabinti siku hizi wamezibukia kwenye michoro ya tattoo. Je ni nini tatizo, malezi mabaya ya watoto, uhuru uliopitiliza ama ni kuanguka kwa maadili kwenye jamii kwa wakati huu. Natambua kweli ile tunaita...
Back
Top Bottom