Habari zenu watu wa humu.
Moja kwa moja niende kwenye mada nisiwachoshe na salaam. Katika pitapita zangu na kuzunguka baadhi ya mikoa hapa Tanzania, nimegundua jamii za wafugaji Kama wamasai, wakurya, wasandawe, wasukuma nk.., wana asili ya urefu tena wana afya Sanaa tofauti na jamii za wakulima...