miji

Miji (autonym: Dmay), also Dhammai or Sajolang, is a cluster of possibly Sino-Tibetan languages in Arunachal Pradesh, northeastern India. "Dialects" include at least two distinct languages, which are not particularly close, with only half of the vocabulary in common between the languages of East Kameng District and West Kameng District. Long assumed to be Sino-Tibetan languages, they may be a small independent language family.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  2. Nissan march(baadhi ya maeneo huitwa Nissan mirca) ni gari Bora Sana kwa matumizi ya miji

    Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga soko la magari madogo (compact cars). Lengo kuu la gari hili lilikuwa kutoa chaguo la kiuchumi kwa...
  3. R

    Wale mlioishi miji au majiji makubwa kwa miaka mingi, mliwezaje kuzoea maisha ya bush ama miji midogo

    Tupeane uzoefu
  4. D

    Mipango Miji: Kwanini kuna stendi holela za mabasi wakati kuna stendi ya Magufuli jijini Dar???

    Katika jambo la kushangaza ni uholela wa stendi za mabasi ya abiria yanayofanya safari kati ya dar es salaam na mikoa mbali mbali nchini kuwa na vituo vyao binafsi tofaiti na kituo stahiki cha serikali cha magufuli kilichopo mbezi mwisho Kwa wakazi wa dar kuanzia magomeni mpaka ubungo kuna...
  5. Miji sita inayogombaniwa na waislamu,Wayahudi na Wakristo

    Ugomvi mkuu wa Wayahudi na Waarabu/Waislamu upo katika eneo la ukingo wa magharibi wa mto Yordan mahali ambapo pana miji tisa muhimu na mikongwe ya historia ya mababa wa Imani na manabii. Na miji hiyo ni Yerusalemu, Hebron, Bethlehemu, Yeriko, Rama, Nablus, Jenin, Qalqilya, na Tulkarm. Leo...
  6. Pendekezo: Tanzania tuwe na miji mikuu miwili ya nchi, Dodoma na Dar es Salaam

    Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa...
  7. Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  8. C

    Hivi hatuwezi kupangilia miji yetu?

    Nimezunguka maeneo mengi ya Dar es salaam kwa mtizamo wangu ni haukufanyiwa planning! Stendi za daladala vimetengenezewa msongamano mkubwa mno na kelele nyingi saana zisizokuwa na tija. Mfano stendi ya mbezi mwisho na mbagala rangi wajasiriamali wameweka vibanda visivyo rasmi ili kufanya...
  9. Make Kilimo Great Again: Tunahitaji Movement ya Vijana kurudi Vijijini, maana hii miji inazaa kizazi maskini

    Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
  10. Kuna miji, majiji, mikoa na maeneo Majina yake tu Yanaonesha eneo ni zuri kuishi

    Eneo zuri kuishi kwanza liwe na watu wengi, pia liwe na mzunguko mzuri wa biashara. Nitajaribu Kutaja baadhi ya maeneo kama ukijaribu kutembelea utanishukuru kwa uzuri wa maeneo hayo CHATO, MBEYA, TUNDUMA, MULEBA, MOROGORO, MAFINGA, SONGEA, TUNDUMA, VWAWA ONGEZEA MENGINEUYAJUAYO
  11. Kaita kampuni ya mipango miji kupandiwa mawe kaambiwa alipe 1,500,000/=

    Eneo liko mjini! Limezungukwa na majirani waliopandiwa mawe ya umiliki! Sasa kawasiliana na kampuni iliyasajiliwa kurasimisha makazi. Kaambiwa: gharama za utambuzi 200,000/= (laki mbili). Kupandiwa mawe millions moja na nusu. Kwa maeneo haya Kiluvya (Kibaha) gharama za kiwanja 20x20 ni million...
  12. Miaka michache mbele miji ya Africa ndiyo itakuwa na hewa chafu zaidi duniani

    Miji mingi mikubwa yenye watu wengi inasumbuliwa sana na hewa chafu. Mchafuzi wa kwanza akiwa ni magari. Moshi wa magari unachafua hewa ya miji ya nchi kama India hadi shule zinafungwa na watu wanashauriwa kukaa ndani. Miji ya China ilikuwa na hewa chafu hadi watu wanatembea na mask. Leo miji...
  13. Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
  14. Miji gani migumu kwa biashara wakuu?

    Kuna maeneo ukianza kufanya biashara uwe na moyo mkuu aisee. ✍️
  15. KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  16. Ni aibu kubwa kwa miji yetu kukosa smoking zones

    Tukiachana na vyoo vya umma bado miji yetu inakosa kitu muhimu sana. SEHEMU ZA WATU KUVUTIA SIGARA. Inakera sana kuona watu wakivuta sigara popote pale katikati ya mji na kuleta kero kwa wasiovuta. Idara za afya kwenye miji yetu wanafanya nini kwenye nafasi zao kama jambo dogo kama hili...
  17. Uhuru Park Nairobi, Kenya nchi yenye uhaba mkubwa wa Ardhi, Vipi sisi Tanzania wenye ardhi tele na miji imejaaa Frame tupu?

    Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga. Nenda Arusha ni full majengo yalio jaa frame, eti Geniva ya Africa, Ardhi zilizo kuwa za wazi kwa...
  18. Biashara miji midogo inayokuwa

    .
  19. Natafuta kazi, fani ya mipango miji(Bsc. Housing and Infrastructure planning)

    Habari, nina degree ya housing and Infrastructure planning (Mipango miji) nimemaliza chuo kikuu Ardhi mwaka 2023 nipo Dar es Salaam. Natafuta nafasi ya kazi au hata ya kujitolea hata kwenye kampuni binafsi . Nitashukuru sana kwa msaada wako.
  20. Kinachotushinda Wabantu kuchora na kupanga miji ni nini?

    Unavyoona hapo siyo maua au mchoro wa kompyuta ni muonekano wa mji toka angani. Hivyo sio vibox ni plots zilizochorwa na kupimwa tayari. Yani miundombinu imetangulia kabla ya watu kuanza kuishi. Mazingira haya utayaona kwa jamii nyingine lakini sio kwa Wabantu. Sisi tuna shida gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…