Miji (autonym: Dmay), also Dhammai or Sajolang, is a cluster of possibly Sino-Tibetan languages in Arunachal Pradesh, northeastern India. "Dialects" include at least two distinct languages, which are not particularly close, with only half of the vocabulary in common between the languages of East Kameng District and West Kameng District. Long assumed to be Sino-Tibetan languages, they may be a small independent language family.
Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
Habari ya mjini ndio hio Israel kunawaka moto na wanazuia TV zisionyeshe wa Kwanza Al Jazeera kavamiwa office zake.
https://youtu.be/gge7jCaNeak?si=5UYU-0btNIMmIjBz
https://youtube.com/shorts/uXpvm4PoKA0?si=xuE4CotYcKnosYVr
Base inawaka moto wanazuia wasionyeshe aibu zao. Base imesambaratishwa...
Leo nimepita mjini kati Posta, Dar es Salaam, muda kidogo sijatembelea mjini kati, nikashangaa kuona mgahawa wa kienyeji (Mama Ntilie) umejengwa mbele ya jengo la mwalimu Nyerere Foundation ambapo kuna hoteli ya Johari Rotana, kwenye geti la kuingilia kwenye Hotel.
Johari Rotana ni 5 stars...
Sasa hv kumekuwa na ongezeko kubwa sana la omba omba mijini na hata kwenye baadhi ya vijiji,cha ajabu sasa hv ni kama wana mfumo fulani ambao ni rasmi.
Kwanza maeneo wanayopendeleea kuomba yanafanana na hata wakati mwingine wanakuwa wengi sehemu moja,mfano ni kwenye taa za kuongoza magari na...
CHADEMA wameshindwa siasa badala yake wameanza kuchafua vyombo vya dola na watu. Kwa wapenda amani na nchi yetu CHADEMA wakienda barabarani hiyo septemba 23, sisi tuingie kwenye nyumba zao
Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
Ukweli ni kwamba kama kmc wameweza kujenga uwanja mzuri vile imagine viwanja kama ccm kirumba,sokoine, jamhuri n.k vingepewa halmashauri wakarabati soka na michezo mingine ingeshamiri namna gani!?
Yani ikitokea nimepewa nchi Hilo ndio jambo la kwanza la kufanya
Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.
Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.
Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.
1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba
Manispaa...
1. Luxor, Misri🇪🇬 c. 3200 BC
2. Tangier, Morocco🇲🇦 c.1200 KK
3. Tripoli, Libya🇱🇾 c . 700 BC
4. Constantine, Algeria🇩🇿 c. 600 BC
5. Benghazi, Libya🇱🇾 c. 525 BC
6. Axum ,Ethiopia🇪🇹 c. 400 BC
7. Benin City, Nigeria🇳🇬 c. 400 BC
8. Berbera, Somalia🇸🇴 c. 400 BC
9. Ife, Nigeria🇳🇬 c...
HUsika na kichwa cha habari hapo juu, Taifa la Tanzania ni miongoni mwa mataifa yanayokuwa kwa kasi sana africa na africa mashariki
Lakin mbali na ukuaji wake bado kuna maeneo hasa miji iliyopo kandokando ya bahari yanahitaji kuwekewa nguvu ili ibadilike na kuwa majiji (Cities) HII Itasaidia...
Nafahamu kuwa huko USA na Ulaya kuna miji ilibomolewana kusukwa upya, ila kuna miji haijapoteza uhalisia wake kwa miaka na miaka, cha kushangaza kuna miji ina barabara za lane 8 na ni masterplan ya karne mbilli zilizopita, jamaa walijuaje kuwa kutakuja kuwa na foleni hapo baadae maana usafiri wa...
UTANGULIZI
Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi.
Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu...
UTANGULIZI
Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi.
Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu wa...
Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi naanza kama ifuatavyo:
1. MLOWO
Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote.
Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
Katika miaka 25 ijayo, Tanzania inayo safari ya mabadiliko kuelekea kuwa ni kielelezo cha kudumu cha mazingira, ubunifu, na utajiri. Msingi wa maono haya ni azimio la kutumia nguvu ya sayansi na teknolojia kutatua changamoto za mazingira wakati tukiendeleza maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.