Hbr wadau wa JF,
Naomba kujuzwa miji ambayo inakuwa kwa kasi ambapo unaeza kununua Mashamba nje kdgo ya mji ukaja kupima na kuuza km viwanja kwa faida kubwa.
Maana nilinunua viwanja singida mjini lakn after 6yrs nakuja kurud nakuta maendeleo kidogo sana inakuwa km kuzika hela tu.