Gwajima kanisani sijui anakaa muda gani toka aombe ubunge. Kila siku unaona anaambatana na vijana wale wale waumini wake kuzunguka mtaani na jogging. Mambo yamegoma amehamia kwenye mashindano ya rede huku akiacha shangingi na kutembelea bajaji za kukodi.
Hizi siasa zilipaswa kufanywa majimbo...
Ikiwa ni siku moja baada ya kuwasili ofisini Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mhe. Dkt.Damas Ndumbaro ameanza kazi Wizarani hapo kwa kukutana na kuzungumza na watumishi na viongozi wa Idara ya Utamaduni, Sanaa, Utawala, Sera na Mipango na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, kwa lengo la kufahamiana...
Kwa mujibu wa Taarifa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Ange Kagame Ndengeyingoma atakuwa Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Baraza la Mikakati na Sera (SPC).
Angel amekuwa akifanya kazi katika Ofisi ya Rais kwa miaka 5, elimu yake ya Sekondari hadi Chuo Kikuu amesoma Nchini Marekani akiwa na uzoefu wa...
Utawala bora na uwajibikaji ni vipengele muhimu kwenye utendaji thabiti wa sekta yoyote pamoja na sekta ya elimu. Utawala bora unahusu taratibu na miundo inayotumika katika kufanya maamuzi na utelekezaji kwa uwazi, ushirikiano na uwajibikaji vilevile uwajibikaji unahusu majukumu ya wahusika au...
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Uhaba wa fursa za kiuchumi na kijamii ni changamoto kubwa kwa watu wengi, hasa katika nchi zinazoendelea.
Fursa za kiuchumi na kijamii ni nafasi au hali zinazowezesha watu kuboresha maisha yao, kujifunza mambo mapya, na kuchangia jamii.
Uhaba wa fursa ni...
Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali?
Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae.
Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amebainisha juhudi zinazofanywa na Wizara ya Afya katika mapambano dhidi ya changamoto ya utoaji mimba usio salama ikiwemo, kutoa elimu juu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike ambao wapo chini ya umri wa kuzaa.
Dkt. Mollel amesema hayo leo Juni 2, 2023...
Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana.
Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
JIMBO LA MOMBA KUNUFAIKA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imepanga kujenga miundombinu ya barabara kwa kiwango cha lami katika Jimbo la Momba...
MUHTASARI:
Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii.
Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
Bila kujari Yanga itaanzia wapi lakini natowa wito kwa matawi yote ya Yanga nchi nzima na kwa uongozi wa Yanga huu ndio muda sahihi wa kupanga mkakati kabambe kuhakikisha Mwarabu anakufa nyingi kwa Mkapa.
Sasa ni wazi Yanga ifunguwe Amari zote za silaha kama tunaanzia fainali kwa Mkapa basi...
Kumeanza kuibuka wimbi la utolewaji wa ripoti za fedha za miradi ambazo zimekuwa na mashaka makubwa sana na hasa zinaumiza walipa kodi, kuna harufu ya rushwa na ibadhirifu mkubwa tu tena kwa miradi ambayo haina msingi sana.
Mfano bajeti ya ukarabati tu wa ofisi ya makamu wa rais ambayo...
Ushauri huu ni mahususi kwa ajili ya ACT Wazalendo na vyama vingine vyenye muelekeo kama huu wa kuratibu maandamano na 'attention seeking' na nimetumia neno 'attention seeking' kwa sababu za ushiriki wao wa siasa za matukio ,kunapokuwa na tukio Chama kinaibuka na baadae kinapotea.
Kwa mazingira...
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake.
Katika Mazungumzo ambayo yamefanyika kwa muda wa saa Moja wabunge pamoja na mkuu wa Wilaya wamejadili mikakati ya...
Rais Samia Suluhu anaandika historia ya kuwa mmoja kati ya viongozi nchini waliopeleka miradi mikubwa ya kimaendeleo Kigoma na kuubadilisha mkoa wa kigoma kutoka mkoa uliokuwa nyuma kimiundombinu na kuwa mkoa wa kisasa.
Hiyo inatokana na Rais Samia Suluhu kupeleka miradi mikubwa ya barabara...
Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
Leo Novemba 22,2022. Rais Samia Suluhu amezindua ghala lenye uwezo wa kuhifadhi nafaka tani 25,000 pamoja na vihenge vyenye uwezo wa kuhifadhi tani 15,000 ambavyo vyote kwa pamoja vina uwezo wa kuhifadhi tani 40,000. Lengo la Serikali ni kujenga maghala mengi zaidi nchini ili kuongeza uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.