Kwa miaka mingi, na hata kwa sasa, Serikali imekuwa na mikakati ya kuondoa/kupunguza umaskini km MKUKUTA. LAKINI! Hadi leo kiwango cha umaskini bado hakijabadilika. Tunachoshudia ni juhudi za Setikali kushughulikia Maskini badala ya UMASKINI.
Mifano iko mingi:
[emoji830]︎ Wakulima wa vijijini...