Imeelezwa kuwa Tanzania imesaini mikataba 19 ya uwekezaji wa nchi na nchi (BIT) hadi kufikia mwaka 2022, ambayo baadhi yake bado haijaridhiwa.
Akizungumza leo Agosti 02, 2023 katika mjadala wa Twitter space ulioendeshwa na Mwananchi, Mhariri wa Takwimu wa Kampuni ya Mwananchi Communications...