mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gan star

    Napenda kuuliza , endapo Muungano ukavunjika je mikataba nayo itavunjika ??

    Wakuu napenda kuuliza , hv Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika , je mikataba ambayo ilisainiwa Kwa idhini ya Tanzania nayo itavunjika ??? Wenye uelewa naomba wanijuze
  2. Poluyakhtov

    Utaratibu wa mikataba ya ajira

    Habari za muda huu wana JF, Naomba kwa wataalamu wa sheria hasa zile za mikataba ya ajira mnisaidie hili swali,Je,ni utaratibu wa kisheria mtu kufanyiwa probation mara mbili yaani miezi mitatu kwanza na akifaulu hapo anaingia awamu ya pili ya miezi sita au zaidi? Shukrani.
  3. ChoiceVariable

    Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake. Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering...
  4. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Kiteto - Hafla ya Kusainiwa kwa Mikataba Ujenzi Barabara za Lami

    JIMBO LA KITETO TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO HAFLA YA KUSAINIWA KWA MIKATABA UJENZI BARABARA ZA LAMI Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto nachukua fursa kuwafahamisha kuwa KESHO tarehe 16. 6.2023 Wizara ya Ujenzi kupitia kwa Mhe. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Mbarawa...
  5. Roving Journalist

    Taarifa ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa

    (Kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Ibara ya 18(2): Ndugu Waandishi wa Habari, Kwa kutumia Haki yetu ya Kikatiba, “ Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za Wananchi, na pia juu ya maswala muhimu...
  6. Stephano Mgendanyi

    Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  7. F

    Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

    Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya. Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
  8. F

    Mbowe yupo sahihi sana. Je, muungano si unaweza kuvunjika wakati wowote tukabaki na mikataba ovyo iliyosainiwa na wageni?

    Freeman Mbowe yupo sahihi kabisa kuhoji ni akina nani wanahusika kusaini mikataba hasa ile inayotekelezwa upande mmoja wa muungano. Haiwezekani mkataba mkubwa wenye kuhusisha lango kuu la Tanganyika ukasainiwa na watu wanaotokea upande mwingine wa muungano! Hivi mkataba huo ukiwa na hujuma na...
  9. Roving Journalist

    Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  10. S

    Baba wa mikataba Prof. Kabudi yuko wapi mjadala wa mkataba wa kuuza bandari?

    Profesa Kabudi aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa ndiye BABA wa mikataba na mwenyekiti wa timu za kitaifa za majadiliano ya mikataba. Huu mkataba wa bandari umepitaje mikononi mwake ukiwa na mapungufu haya?
  11. S

    Yafahamu majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusiana na mikataba ya kimataifa

    UANDISHI WA SHERIA Kwa mujibu wa Hati ya Idhini ya Maboresho ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Tangazo la Serikali Na.48 la Mwaka 2018 ,Ofisi hii inatekeleza majukumu yafuatayo Kupitia Divisheni ya Uandishi wa Sheria. Kutoa ushauri kwa Wizara, Idara Zinazojitegemea na Taasisi za...
  12. R

    Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

    Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari. 2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
  13. Tukuza hospitality

    SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora ni muhimu ili kuzuia mikataba inayonyonya damu

    Nimevutiwa kuandika Makala hii kutokana na mjadala unaoendelea hivi sasa, kuhusu mchakato wa bandari ya Dar-es-Salaam kuingia mkataba wa uendeshaji na kampuni ya DP World ya Dubai. Ni habari ambayo imetawala vyombo vingi vya habari! Kielezo Na. 1: Bandari ya Dar-es-Salaam Chanzo: KWELI -...
  14. Stephano Mgendanyi

    Prof. Kitila Mkumbo: Watanzania hawapingi uwekezaji wa Bandari, wanataka Mikataba iwe Mizuri

    "Chama cha Mapinduzi (CCM) kilibadili mwelekeo wa kisera za kiuchumi na kisiasa miaka ya 90's, mojawapo ya mabadiliko ya kisera za kiuchumi na kibiashara ni kuachana na Serikali kuhodhi nyenzo za uchumi kama ilivyokuwa hapo kabla"- Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Mbunge wa Jimbo la Ubungo "Miaka ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Kamati yashauri Mikataba DP World itakayosainiwa Itaje Muda wa Utekelezaji

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeshauri mikataba ya utekelezaji itakayosainiwa itaje muda maalumu wa utekelezaji wa miradi ambao utazingatia maslahi mapana ya nchi ya Tanzania. Ushauri huo umetolewa leo Jumamosi Juni 10, 2023 bungeni Dodoma na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso...
  16. Poa 2

    Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  17. F

    Mkanganyiko mkubwa bungeni: Wabunge wengine wanasema huu si mkataba, ni makubaliano ya awali tu, wengine wanasema ni msingi wa mikataba itakayofuata

    Nafuatilia bunge live saa hii. Ninachokiona ni mkanganyiko mkubwa wa hoja juu ya suala la bandari na "mkataba" na kampuni ya Dubai ya DPW. Nimegungua kuwa upo mkanganyiko mkubwa kati ya wabunge, huku wengine wakisema haya ni makubaliano ya awali kuhusu mikataba itakayofuata. Wapo wanaosema...
  18. Mr mutuu

    Mikataba tunayoingia itamwaga damu za Wajukuu zetu

    Kwa aina hii ya mikataba ambayo haina kichwa waa miguu, baada ya Miaka kama 50 Tanzania tutapata kizazi ambacho kitakua kinajielewa, achana na kizazi hiki cha kunywa visungura, sijui double kiki, yokozuna na vitoko sijui. Watakapotaka kutumia rasilimali zao kuendeleza taifa ndo watakuta Kila...
  19. Mshangai

    Wabunge wetu mnataka mpigwe na mayai viza ndio mjue mnatukosea?

    Hili jambo nilishuhudia nchi moja Ulaya na matukio hayo baadhi ya nchi Afrika yamekuwapo. Wananchi wamekuchagua (au wamewekewa) mwakilishi wao kuwasemea Bungeni, lakini badala ya kutimiza wajibu wako kwa waliokutuma unaenda kutumika kupitisha vitu ambavyo unajua kwa uwazi kabisa watu hawataki...
  20. Venus Star

    Maswali ya mdau katika forum ya Katiba ya Watu kuhusu mikataba na mabadiliko ya Katiba katika mchakato wa kisiasa na kisheria

    Swali la kwanza Ni aina gani za mikataba ambayo inaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa? Majibu tota kwa mdau @G na wadau wengine Swali la kwanza. Kuna aina mbalimbali za mikataba ambazo zinaweza kusababisha upungufu wa uhuru wa kitaifa ni kweli. Hapa kuna baadhi ya mifano: 1...
Back
Top Bottom