mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. darasani

    Kufanya kazi shule za private za kanisa yataka moyo

    Ndugu zangu habari, sijui ni kwa nini lakini naomba niwape huu uzi kwa ufupi. Ni muda mfupi nimetoka kuongea na mmoja ya walimu wakongwe wa Nyegina Secondary, amenipa taarifa iliyobadili hisia zangu ghafla. Iko hiviii, walimu 5 wameachishwa kazi. Sababu ni kwamba hawa walimu hawajui...
  2. K

    Upigaji wa Wachina Katika Mikataba ya SGR Uko Wapi?

    Kipchumba Murkomen kafanya kweli huko Kenya. Sasa watu wanajiuliza, ule upigaji mkubwa uliokuwa ukisemwa kuhusu unyongaji wa mikataba ya kichina upo wapi? Bandari ya Mombasa iliyodaiwa kuwekwa rehani haionekani popote. Na kama kuna chembechembe zozote za upigaji, ni dhahiri kabisa kwamba ni...
  3. peno hasegawa

    Mikataba 15 iliyosainiwa huko China iangaliwe kwa umakini mkubwa, Wachina huwa hawakosei

    Mikataba
  4. Meneja Wa Makampuni

    Wengine wanasema miradi ya gesi na mafuta inachelewa sana kwasababu hatuna wataalamu wa kutosha wa kujadili mikataba ya gesi na mafuta

    Moja ya tatizo linalokumba taifa letu ni kuchelewa kwa miradi ya gesi na mafuta. Majadiliano yamekua yakichukua muda mrefu sana. Labda pengine changamoto imekua kwenye kuelewana na kuridhiana vile vifungu vilivyowekwa kwenye mikataba hiyo. Watu wengi wameweza kusema kuchelewa kwa miradi ya...
  5. BARD AI

    Serikali yasema itaweka wazi mikataba ya Madini na Nishati kama itahitajika

    Serikali ya Tanzania imeshindwa kutoa jibu la moja kwa moja kuhusu mikataba ya madini kuingizwa bungeni ili ijadiliwe kabla ya kuingia makubaliano na wawekezaji. Ni hoja ya muda mrefu ya wabunge wakitaka mikataba hiyo iwe inaruhusiwa kupelekwa kwa wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi kwa...
  6. MamaSamia2025

    WCB wako sahihi kuweka miaka 10 kwenye mikataba yao. Ni michache kwa uwekezaji wanaoufanya

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo nami nimeona nitie neno kwenye hili suala linaloendelea mitandaoni na nje ya mitandao kuhusu mikataba ya wanamuziki kwenye label ya WCB. Hii itasaidia watu wengine wasio na akili nyingi kama mimi kuelewa hili jambo. Maneno ya upotoshaji yamekuwa...
  7. Sanyambila

    Klabu ipi imelamba dume kati ya Simba SC na Yanga SC kwa mikataba hii?

    Hivi karibuni timu zetu kubwa hapa nchini zimeingia mikataba mipya na wadhamini wao Simba sc na MBET Yanga sc na SPORTPESA Hapa katikati kuliibuka fununu za simba kuachana na Sportpesa okabaki yanga na yanga alipo saini mkataba mpya watu walisema ni mkataba mnono saana wa billion 12 kwa miaka...
  8. Bodhichitta

    SoC02 Mikataba ya ajira katika sekta binafsi

    UTANGULIZI Kama tujuavyo sekta binafsi imekuwa na mchango katika ukuzaji wa uchumi wa nchi yetu, lakini mbali na hilo ni mdau mkubwa sana wa utoaji wa ajira nchini hususani kwa kipindi hiki ambacho nchi yetu imekumbwa na kadhia kubwa ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu na vijana kwa ujumla. Hivyo...
  9. Theb

    SoC02 Umuhimu wa Mikataba na faida za kusimamia mikataba katika utendaji nchini

    Andiko langu litakuwa katika sehemu kuu tatu. Sehemu ya kwanza itakuwa ni utangulizi hapa nitaelezea maana ya mikataba na faida ya mikataba, sehemu ya pili nitaelezea mikataba iliyoleta migogoro au sintofahamu katika mambo mbali mbali nchini. Sehemu ya tatu itakuwa ya mwisho hapo nitatoa ushauri...
  10. Rashda Zunde

    Maonyesho ya 77 yamefanikisha Tanzania kutia saini mikataba 19

    Mikataba 10 ya ujenzi wa viwanda vikubwa 500 vya kuchakata nafaka, kuuza na kununua mazao, ufugaji samaki, usafirishaji bidhaa kimataifa utakaokamilika mwaka 2025. Mikataba 9 ya uwekezaji wa eneo maalum la viwanda la Sino Tan Park ambavyo ni Kwara vilivyopo Kibaha mkoani Pwani. Viwanda hivyo...
  11. B

    Rais wa SMZ aweka wazi mikataba iliyokuwa siri kubwa, Je Rais wa Muungano ataweza?

    03 Julai 2022 Unguja, Zanzibar. Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30. Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
  12. M

    Ni harufu ya ufisadi tu! Mikataba mikubwa ya trilioni ya pesa haiwekwi wazi na wala Bunge hatusikii likihusishwa. Tunaibiwa tushtuke kabla ya 2025

    Huwezi ukaingia mkataba mkubwa kama huu wa kuchakata gesi Lindi kimya kimya kama unaenda kuuza machungwa. Trilioni 70 ni uhai wa taifa letu. Tunatakiwa kuambiwa ukweli juu ya huu mkataba. Ufafanuzi wa kinagaubaga na kujadiliwa na Bunge. Hiyo mikataba iliyosainiwa Oman ni mashaka matupu. Maana...
  13. Econometrician

    Utiaji saini Mikataba ya Miradi ya maji katika Miji 28, Kama Nchi tuna safari ndefu

    Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini? Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
  14. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Serikali inapoingia mikataba ya karne ya mahekta ya ardhi na wawekezaji ni pigo kubwa kwa kizazi kijacho

    Wakuu Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini. Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi...
  15. Z

    Kwanini huwa serikali inaingia mikataba bila kuishirikisha Bunge kama kweli kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali?

    Nauliza tu maana sielewi vizuri sana maana mambo ya kiwa hovyo huwa naona bunge linasema iundwe tume kuchunguza jambo fulani.
  16. Magazetini

    Luhaga Mpina: Mfumuko wa bei umetengenezwa. Ataka uchunguzi kilichojificha Symbion na mikataba mibovu ikafutwe bungeni

    Akichangia hotuba ya waziri wa viwanda na biashara, mbunge Kisesa, Luhaga Mpina ameongelea mambo mbalimbali ikiwemo uhusiano kati ya sekta binafsi na umma, mikataba mibovu ukiwemo wa Tanesco na Symbion, bilioni 70 za mkataba wa maendeleo ya tehama Tanesco na Mahindra ya India, mkataba mpya...
  17. B

    Waliopewa dhamana ya kutunza mikataba ya Siri ya rasilimali za nchi wamenyimwa dhamana yakushiriki majadiliano kabla ya mikataba

    Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi wamevaa nafsi ya uadilifu lakini wanachohifadhi hakina uadilifu. Kwa mantiki nyingine mahali...
  18. Lanlady

    Mikataba kwa wasaidizi wa kazi za ndani, je ni vigezo gani vinavyozingatia kwa nchi husika kukubali mikataba hiyo?

    Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi. Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa. Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
  19. SULEIMAN ABEID

    Mchango wa mbunge mpina bungeni, ahoji usiri mkubwa katika mikataba ambayo serikali inaingia kwa niaba ya wananchi

    Mheshimiwa Spika, Serikali imekuwa ikiingia mikataba mingi kwa ajili ya shughuli za kiuchumi na kijamii na kwa bahati mbaya sana mikataba hii hutuzwa kwa siri kubwa, wabunge na wananchi wamekuwa wakilalamikia utekelezaji dhaifu wa baadhi ya mikataba bila kupata majibu fasaha. Lakini pia taarifa...
  20. kavulata

    Hasara ya kuvunja mikataba ni baada ya kupuuzwa ushauri wa Tundu Lissu

    Sina mashaka na uzalendo wa Tundu Lissu kwa Taifa. Kinachomponza ni kuwaambia watu tusikombe mboga ili tushibe wote. Kuna watu hawataki kuambiwa usikombe mboga, wanachofurahia ni wao wakombe peke Yao wengine mle ugali kwa kuchovya tongue au mle bilà mboga kabisa. Tundu Lissu aliwaonya watu...
Back
Top Bottom