mikataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    Naibu Waziri Mawasiliano: Marufuku kusainisha wananchi mikataba ya lugha za kigeni

    MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa makampuni ya simu nchini kuwasainisha wananchi mikataba au makubaliano yeyote ya kutumia ardhi ya...
  2. Zanaco

    Tujikumbushe kidogo Dkt. Karl Peters na Mikataba ya Kilaghai

    Jumamosi ya Novemba 15, 1884, Kansela wa Ujerumani, Otto von Bismarck, aliitisha mkutano mkubwa kwa ajili ya kuligawa Bara la Afrika. Mkutano huo uliofahamika kama Berlin Conference, ulifanyika kwenye makazi yake huko Wilhelmstrasse, Berlin. Mkutano huo ulilenga katika kuwaepusha wababe wa...
  3. S

    Karibuni Wachina na mikataba yenu ya ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Huenda ikawa baada ya miaka 100 ijayo ngozi nyeusi ikapatikana kwa nadra hapa Tanzania kama ilivyo kwa Madagascar na Mauritius. Kupata mtu mweusi wa asili itabidi labda uende ndani kabisa mashambani huko vijijini. Majina ya asili yatachanganyikana na ya kichina kwa hiyo yatapotea kabisa...
  4. S

    Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
  5. B

    Kampuni ya YÜTEK ya Uturuki yasaini mikataba ya ujenzi wa meli

    15 June 2021 Mwanza, Tanzania Rais Samia anashuhudia utiaji saini mikataba 5 ya ujenzi na ukarabati wa meli Shilingi Bilioni 417. Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji saini mikataba 4 ya ujenzi wa meli mpya na mmoja wa ukarabati wa meli . Mheshimiwa Rais amefarijika kuona kazi inaendelea...
  6. Roving Journalist

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

    Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali mkoani Mwanza ukiwemo wa ujenzi wa daraja la...
  7. Roving Journalist

    Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020 === Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
  8. K

    Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Mh. Waziri wetu,tunaomba muliangalie hili kwa jicho la kipekee,Vijana wamekubali kulitumikia Taifa Lao kwa uzalendo wa hali ya juu.Vijana kila mwaka wanapata ajira za mikataba,hii inaonyesha Kuna uhaba wa wafanyakazi ndani ya Halmashauri zetu. Hivyo Kuna vijana wengi wanapewa ajira za mikataba...
  9. S

    Kuongeza wigo wa kodi na makusanyo: Serikali ibuni vyanzo vipya na Mkurugenzi Mkuu wa TRA na waajiriwa wapya wa TRA waajiriwe kwa mikataba

    Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
  10. beth

    Bungeni: Jesca Kishoa ahoji kwanini mikataba haiwekwi wazi

    Mbunge Jesca David Kishoa amehoji kwanini Mikataba haiwekwi wazi akisema kufanya hivyo kuna faida mbalimbali ikiwemo kujenga uaminifu kati ya Wananchi na Serikali. Amesema hayo Bungeni Dodoma na kuongeza kuwa, Serikali inapaswa kuweka akilini kwamba Rasilimali za Tanzania ni za Wananchi na...
  11. masopakyindi

    Wabunge na Bunge lishitakiwe kwa kutosoma na kupitisha mikataba inayowaibia waTanzania

    Haya ni maoni ya mwandishi Ndg Mgamba. Bunge na wabunge washitakiwe na wananchi kwa kupitisha mikataba inayowaibia wananchi mali nyingi za madini na biashara. Actually ana sema ni UHAINI kupitisha mikataba inayotuibia , bila kuisoma na kutetea maslahi ya nchi. Mimi naunga mkono msimamo huu...
  12. A

    Usiri wa Mikataba vs Uwazi

    Ndugu wanajukwaa kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Ninaomba kuuliza swali: je, tuendelee na utaratibu huu wa mikataba kuwa siri au tubadilishe utaratibu mikataba iwe wazi ili kila mtu ajue mashariti ya hiyo mikataba kama yana faida au lah? Nimeuliza swali hili kutokana na mjadala...
  13. TODAYS

    Kwaheri Magufuli: Haya ndiyo Mazingira ya Mikataba Baina ya Afrika na Wakoloni/ Weupe

    Siku zilianza kukatika toka tangazo la kwanza la kufariki kwa aliyekuwa rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Hebu niambie katika mazingira yalivyo hapo chini kwenye picha unaanzaje kukataa au kusema ngoja nisome tena mara ya pili. Au kusema uvute hata pumzi kidogo kwa kunywa maji, labda...
  14. S

    Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

    Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo. Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
  15. MIMI BABA YENU

    Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari yawakabidhi wakandarasi mikataba ya shilingi bilioni 7.5

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amewaagiza wakandarasi wanaokwenda kutekeleza miradi minne ya miundombinu ya mawasiliano yenye thamani ya shilingi bilioni 7.5, kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha kazi hiyo ndani ya muda wa mkataba...
  16. Nyankurungu2020

    Je, mikataba ya utumishi wa umma inasemaje kuhusu kufanya kazi part time?

    Kila mtu anajua kuwa mishahara ya watumishi wa umma ni midogo sana na kiuhalisia haikizi mahitaji ya kila siku. Watanzania wengi wapo kwenye utumishi wa umma sababu tu ni ajira ya kudumu na ukiwa nayo kiasi fulani unaweza kupoza rim. Hivi mtu anakuwa na net pay ya 350000 kwa maisha ya leo...
  17. J

    Makubaliano ambayo ni mkataba kwa mujibu wa Sheria ya Mikataba ya 2018

    Makubaliano yote ni mikataba kama yatakuwa yamefanywa kwa hiari na watu wanaostahili kufanya makubaliano, kwa malipo ya kitu halali na ambayo hayajatajwa waziwazi na sheria hii kuwa ni batili: Mikataba yote inatakiwa iwe kwenye maandishi au ifanywe mbele ya mashahidi, au sheria yoyote...
  18. J

    Serikali yaagiza mikataba ya wafanyakazi kukaguliwa upya ndani ya mwezi mmoja!

    Waziri wa kazi, ajira na wenye ulemavu Jenister Mhagama amemtaka Katibu Mkuu wa wizara yake kukagua mkataba ya watumishi wote kwenye miradi ya kimkakati. Mhagama amesema uhakiki huo una lengo la kuangalia kama mikataba hiyo ya kazi inakidhi vigezo vya kisheria na ina tija. Chanzo: ITV habari...
  19. Leslie Mbena

    Nani aliyetukosea; Je, aliyeshindwa kuapa au wale waliosaini mikataba iliyogharimu taifa letu. Je, ni Mzumbe University au Dar es Salaam University?

    NANI ALIYETUKOSEA,JE ALIYESHINDWA KUAPA AU WALE WALIOSAINI MIKATABA ILIYOGHARIMU TAIFA LETU,JE NI MZUMBE UNIVERSITY AU DAR ES SALAAM UNIVERSITY!? Leo 18:30hrs 11/12/2020 I really admire Mzumbe University,ina miaka 20 toka ilipobadilishwa Institute of Development Management (IDM Mzumbe) hadi...
  20. humphrey_on_th_forum

    Moja kati ya mikataba mibovu kuwahi kutokea

    Hello team, Moja kwa moja kwenye mada. Binafsi nimeshuhudia mikataba inayoandaliwa na wamiliki wa nyumba za kupanga wakiandaa mikataba ambayo ni mibaya, kandamizi na yenye kukomoa utadhani wamelazimishwa kupangisha vyumba. Je, wizara inayohusika na makazi, kwa nini isiingilie kati suala la...
Back
Top Bottom