Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote!
Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha!
Nyaya zimeshagusana, moto...
Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia:
Ufafanuzi wa ubia
Akifafanua kuhusu ubia ameeleza unatangenezwa katika mkataba wa uendeshaji wa jambo fulani, ambapo...
Serikali kupitia TANROADS imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara unganishi katika Daraja la Sibiti yenye urefu wa Kilometa 24.83 kwa kiwango cha lami (mradi unatekelezwa Wilaya ya Mkalama) na mkataba wa ujenzi wa barabara ya Makongolosi – Rungwa – Itigi – Mkiwa sehemu ya Noranga – Doroto...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, tarehe 13 Mei, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu Aprili 17, 2023 anatarajia kuwa mgeni rasmi na kushuhudia utiaji saini wa mikataba kati ya Serikali na kampuni 3 za madini kutoka nchini Australia.
Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma kuanzia...
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
Nimemsikiliza waziri wa Ujenzi, Prof Mbarawa, juu ya mikataba ya Ujenzi juu ya aina ya mikataba ya ujenzi.
Alikuwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Kamati ya Miundombinu ya Bunge.
Ati kuna Fixed Price Contracts na Contracts zenye variations. Prof Mbarawa si mhandisi wa Ujenzi wala kisomo...
Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia.
Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
Habari za saa members wote.
Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu.
SWALI:
1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ?
i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ?
ii,Je, sheria za nchi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said anazungumza
Mikataba 14 ya Wakala wa...
Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa!
Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
Akizungmza Bungeni, leo Februari 7, 2023, wakati wa kuchangia ripoti ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Mbunge Geoffrey Mwambe amesema Serikali inalazimika kulipa fedha nyingi katika miradi mbalimbali kutokana na usimamizi na uwajibikaji mdogo wa baadhi ya watendaji wa Serikali...
Ni muhimu sana kwa wasanii kuhakikisha mnajidhatiti kwa kuwa na uwakilishi madhubuti wa kisheria katika usimamizi wa masuala yenu ya sanaa.
Ikiwa mwaka bado ni mchanga na ikiwa tunaendelea kushiriki katika wiki ya sheria, nimelazimika kutumia kalamu na taaluma yangu kutoa rai hii kwa wasanii...
Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato –wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara- lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa. Wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana.
Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe.
Natoa rai mikataba yake itenguliwe
Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe.
Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe.
Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
Kumekuwa na utamaduni wa kulaumu wapinzani mali za serikali zikishikwa kwasababu ya uzembe wa serikali na ukatishaji wa mikataba.
Sasa tusije kusikia Mwigulu akija hapa badala ya kuelezea suluhisho na jinsi ya kuepuka hizi hasara aanze kulalamikia wapinzani ambao walikuwa wanawashauri bungeni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.