Makubaliano hayo yanajumuisha kuongezewa mshahara kwa Arteta kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu ya hivi karibuni, huku akiendelea kuwa sehemu muhimu ya mradi wa Arsenal. 🤝🏼
Soma Pia: Kuondoka kwa Pep Guardiola kunafungua enzi ya Mikel Arteta?
Arteta anatarajiwa kusaini mkataba huo...