Mikel Arteta amekubali kuongeza mkataba wa muda mrefu Arsenal

Mikel Arteta amekubali kuongeza mkataba wa muda mrefu Arsenal

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makubaliano hayo yanajumuisha kuongezewa mshahara kwa Arteta kutokana na kazi nzuri aliyofanya katika misimu ya hivi karibuni, huku akiendelea kuwa sehemu muhimu ya mradi wa Arsenal. ๐Ÿค๐Ÿผ

Soma Pia: Kuondoka kwa Pep Guardiola kunafungua enzi ya Mikel Arteta?

Arteta anatarajiwa kusaini mkataba huo hivi karibuni, ingawa kwa sasa tayari wamefikia makubaliano ya mdomo. Taarifa hiyo imeripotiwa na BBC na kuthibitishwa na vyanzo vilivyo karibu na kocha huyo.

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†- ๐Œ๐ˆ๐Š๐„๐‹ ๐€๐‘๐“๐„๐“๐€ ๐€๐†๐‘๐„๐„๐’ ๐๐„๐– ๐‹๐Ž๐๐† ๐“๐„๐‘๐Œ ๐‚๐Ž๐๐“๐‘๐€๐ฎjpg.jpg
 
Back
Top Bottom