Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo.
Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo...
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank?
=====
Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi.
Taarifa...
Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imemchagua Barbara Gonzalez Kuwa Afisa mtendaji Mkuu wa klabu hiyo.
Barbara amechaguliwa na bodi ya wakurugenzi ya Simba,anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo aliyetimkia kwa wapinzani wao Yanga.
WHO IS BARBARA GONZALEZ?
Barbara Gonzalez is the head of...
Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda.
Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo.
Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.