mikoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo. Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo...
  2. Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

    Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo. Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank? ===== Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
  3. Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  4. Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

    Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imemchagua Barbara Gonzalez Kuwa Afisa mtendaji Mkuu wa klabu hiyo. Barbara amechaguliwa na bodi ya wakurugenzi ya Simba,anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo aliyetimkia kwa wapinzani wao Yanga. WHO IS BARBARA GONZALEZ? Barbara Gonzalez is the head of...
  5. Kiwanda cha mikoba Tanzania

    Naomba nisaidiwe, hivi kuna kiwanda cha mikoba na mabegi hapa nchini kwetu? Na kipo mkoa gani?
  6. I

    Biashara ya mikoba, viatu na nguo kutoka Uganda naomba msaada wa mawazo

    Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda. Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu Uganda na kuleta Tz naomba aje nahitaji mwongozo. Juu ya namna ya kufika Uganda masoko ikiwezekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…