Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao.
Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo.
Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko.
Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
Kwema Wakuu,
Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old Bagamoyo Road) kituo kimoja kabla ya Clouds.
Sasa wanafunzi hawa waliomaliza form 4 ili wakabidhiwe...
Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location .
Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
Jamani madreva mnaopita njia hiyo, nahisi huyu mkandarasi anatengeza hiyo Barabara hawazi sawa sawa muwe makini.
Kachimba mashimo kila mahali, leo ni siku karibu ya tano napita hapo, yako vilevile. Sasa naomba muwe makini maana, mnaweza mkafanya ajari, najua lengo lake ni kuifanyia Barabara...
Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk.
Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo.
Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia.
contact 0628501029
Asanteni.
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam.
Pongezi kwa Wizara na Serikali.
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
Baada ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kuwa mawaziri wote sasa wanatakiwa kuishi Dodoma jirani na ofisi zao.
Je, hizi nyumba zao za mikocheni kwa sasa hivi nani anaishi humo?
Nashauri tupewe watumishi wa DSM au serikali izipangishe kwa wanachi kwa kodi ndogo ili kila mwananchi afaidi matunda...
Habarini za Usiku,
Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo
Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000
Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila...
Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar.
Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live.
Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.