mikocheni

Dar es-Salaam (; from Arabic: دار السلام‎, romanized: Dār as-Salām, meaning: Place of Peace) is the largest city and former capital of Tanzania. It is the largest city in East Africa and the seventh-largest in Africa, with a population of 6,701,650. Located on the Swahili coast, Dar es-Salaam is an important economic centre and one of the fastest growing cities in the world.Until 1974, Dar es-Salaam served as Tanzania's capital city, at which point the capital city commenced transferring to Dodoma, by order of then-president Julius Nyerere, which was officially completed in 1996. However, as of 2018, it remains a focus of central government bureaucracy, although this is in the process of fully moving to Dodoma. It is Tanzania's most prominent city in arts, fashion, media, music, film and television, and is a leading financial centre. The city is the leading arrival and departure point for most tourists who visit Tanzania, including the national parks for safaris and the islands of Unguja and Pemba.
It is the capital of the co-extensive Dar es-Salaam Region, which is one of Tanzania's 31 administrative regions and consists of five districts: Kinondoni in the north, Ilala in the centre, Ubungo and Temeke in the south and Kigamboni in the east across the Kurasini creek.

View More On Wikipedia.org
  1. Dar: Wananchi Mikocheni wagomea Kituo cha Mafuta kujengwa kwenye makazi yao

    Wananchi wakazi wa Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi, Kata ya Mikocheni wilayani Kinondoni Dar es Salaam wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao. Kituo hicho kinajengwa katika Barabara ya Senga, Mtaa wa Ally Hassan Mwinyi Kata ya Mikocheni...
  2. Tahadhari: Wakazi wa Mikocheni mpaka Ubungo Sheli Kesho Msitoke Nje

    Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo. Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko. Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
  3. DOKEZO TAKUKURU Nendeni Mikocheni Sekondari mkaone Walimu wanavyodai Rushwa Waziwazi Kwa Waliomaliza Form4

    Kwema Wakuu, Hapa mtaani nilipo kuna ka binti kamemaliza Form4 na majibu ndio yametoka siku chache zilizopita. Shule aliyomaliza inaitwa Mikocheni Sekondari, na ilipo ni njia ya Kawe (Old Bagamoyo Road) kituo kimoja kabla ya Clouds. Sasa wanafunzi hawa waliomaliza form 4 ili wakabidhiwe...
  4. R

    Kulikuwa na umuhimu gani kwa Chama changu CHADEMA kutengeneza ofisi Mikocheni kwa Bilioni 2 ?

    Je hakuna maeneo mengine Dar es Salaam ambako tungeweza kujenga kwa gharama ndogo zaidi ? Maana gharama kubwa kwa haraka ni sababu ya location . Kweli pesa za wajinga huliwa kijinga . Watanzania tunaonewa sana .
  5. A stand alone house for rent at Mikocheni Morocco for 1.5 mil

    House for rent at Mikocheni Morocco. ~ 3 bedrooms ~ Rent 1.5 mil. ~ Advance payment 6 months Note: Viewing charges and agent comission is applied.
  6. R

    Nje ya nyumba ya Rais Mstaafu Mwinyi, Mikocheni mitaro imejaa maji, imeziba

    Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu. Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
  7. Mkandarasi anayejenga Barabara ya Mikocheni kupitia Shoppers Plaza hadi Mbezi

    Jamani madreva mnaopita njia hiyo, nahisi huyu mkandarasi anatengeza hiyo Barabara hawazi sawa sawa muwe makini. Kachimba mashimo kila mahali, leo ni siku karibu ya tano napita hapo, yako vilevile. Sasa naomba muwe makini maana, mnaweza mkafanya ajari, najua lengo lake ni kuifanyia Barabara...
  8. Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  9. Askari kuanza kutumia nyumba za kisasa za Kunduchi na Mikocheni

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na Mikocheni mkoani Dar es Salaam. Pongezi kwa Wizara na Serikali.
  10. Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

    Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo ...
  11. D

    Je, nyumba za mawaziri Mikocheni nani anaishi kwa sasa?

    Baada ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kuwa mawaziri wote sasa wanatakiwa kuishi Dodoma jirani na ofisi zao. Je, hizi nyumba zao za mikocheni kwa sasa hivi nani anaishi humo? Nashauri tupewe watumishi wa DSM au serikali izipangishe kwa wanachi kwa kodi ndogo ili kila mwananchi afaidi matunda...
  12. Wakazi wa Mikocheni, poleni kwa Mvua

    Habarini za Usiku, Mvua zinazo shambulia Jiji la DSM linashambulia mitaa mbali mbali ya jiji, leo nilipita mitaa ya MIKOCHENI kwa WARIOBA nilichokishuhudia pale leo ni wazi serikali inapaswa ichukue jambo Leo kwa warioba kuna bajaji ilisombwa na maji kutoka barabarani ikapelekwa ng'ambo ya...
  13. N

    Uchaguzi 2020 Dar: CCM yapata aibu kubwa TPDC Mikocheni

    Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000 Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila...
  14. Mfahamu Mateso, mtu mwema wa Msasani aliyeuawa kwenye tukio la ujambazi Mikocheni jirani na Coca-Cola

    Mateso au Meshach, mkazi wa Msasani mtaa wa Mikoroshoni, unashuka pale General Tyre, ulizia kwa John muuzà duka ambalo pia ni genge na bar. Kiji bar cha John kinakesha 24/7, Msasani ikilala, kwa John pako live. Kwenye kijiwe hiki ndio watendakazi wote wa Msasani hunywa wakikosa wateja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…