Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri.
Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
Wakuu
Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji.
Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi
Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Pwani Comrade Iddi Ntonga amefanya ziara yake ya kazi wilayani bagamoyo ambapo ametembelea vikundi ambavyo vimenufaika na mkopo wa asilimia 10 ya vijana unaotolewa na halmashauri zote nchini.
Pia ametembelea vikundi vya waendesha Pikipiki...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala ametoa wito kwa viongozi kuhakikisha wanawasaidia vikundi mbalimbali ili wajue namna bora ya kutimiza vigezo vya kupata mkopo wa aslimia 10 unaotolewa na halmshauri.
Sawala ametoa rai hiyo wakati wa kikao maalum cha kamati ya ushauri ya Mkoa (RCC)...
Wanawake wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga wametakiwa kuchangamkia fursa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halmashauri bila riba na kuachana na mikopo umiza.
Rai hiyo nimetolewa na Katibu tawala wa Wilaya hiyo Glory Absalum ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo Mboni...
Katika halmashauri nyingi nchini imetolewa mikopo ya asilimia kumi kwa makundi ya wanawake watu wenye ulemavu na vijana. Wapo baadhi ya watu wengine wakishirikiana na baadhi ya viongozi kutoa mikopo kwa watu wasio na sifa stahiki pamoja na uwepo wa udanganyifu. Je, waliopata mikopo hii...
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
Utangulizi
Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka CRDB, nimejikuta katika hali ngumu sana. Sijawahi kufikiria kwamba mkopo unaweza kuathiri maisha yangu kwa namna hii.
Kila usiku, ninasumbuliwa na mawazo ya kurejesha pesa hizo, na matokeo yake ni kukosa usingizi.
Ni kama vile mzigo mzito...
Wandugu tupeane A BC za kumaintain biashara ndogo ndogo ili tuwasaidie wenzetu wanaotaabika na mikopo ya kausha damu. Hapa tuwaongelee wale wajasiliamali wa chini kabisa. Kundi hili linateseka mno mno kwa kujitahidi kujikwamua lakini hawajui jinsi ya kujikwamua.
Nimeumia sana kuna ndugu...
Hii biashara nimegundua inaendana na mm!!
Nipeni tips naanzia wap
Taarifa kama
Faida na hasara
Kodi yake serikalini
Changamoto
Process za usajili nk
yaan A to Z
Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama mkoani Singida imekabidhi mikopo ya Sh. milioni 395 kwa vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo,Asia Messos,akizungumza jana wakati wa hafla ya kutoa mikopo hiyo alisema baada ya dirisha kufunguliwa jumla ya...
Mbunge wa Hai Mjini, Saashisha Mafuwe ameiomba Serikali kuwakopesha wanaume wote mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10, ili iwasaidie katika shughuli za kimaisha.
Mkuu wa Wilaya ya Lindi VICTORIA MWANZIVA amezindua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa halmashauri ya Mtama ikiwa ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri na kutoa Hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia tatu sitini, laki...
Kina Ndugai walikuwa wakiona mbaali sana, walikuwa wakiziona hizi nyakati, walionya wakapuuzwa na viongozi wa ccm, leo kiko wapi
Nchi kujitegemea ndio mpango mzima ingawa mwanzo una maumivu yake lakini ndiyo heshima yenyewe
Kina JPM (RIP) walikuwa na jicho kali sana, walijua kuwa, kuna siku...
Habari zenu wana jamiiforums, nilinunua simu ya mkopo kama mwezi mmoja umepita kwa sababu sikuwa na pesa za kutosha kuniwezesha kununua simu mpya. Ila sasa nimejipata, nataka niache kuilipia hiyo simu maana deni ni kubwa. Hivi nikiacha kuilipia kuna shida yoyote nitapata, ukiachana na simu...
Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika?
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu.
Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.