Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha Chadema ameishambulia serikali kwa tabia yake mpya ya kukimbilia kukopa kila kunapotokea changamoto kwani tabia hiyo hudumaza akili na kuuwa uwezo wa kufikiri na kutumia fursa zilizopo ndani ya nchi.
Mdee amebainisha kuwa kwenye report ya CAG imeonyesha...
Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi.
Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali?
Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo?
Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio.
Kama swala...
Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili.
Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana.
Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6...
[emoji419]Mfumo wa hazina ume misbehave (despite the GIGOs) baadhi ya wenye mikopo wamekatwa mara moja (1 instalment) ila balance ya mkopo imepungua mara mbili (2 instalments). Kama hazina wataweza ku fix hilo tatizo mapema mshahara wa Feb, 22 unaweza kuwa sawa.
Puuzia taarifa zinazoenezwa...
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?
Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka...
Heshima kwenu.
Naomba kujuzwa, hivi hizi kampuni za mikopo huwa zinalipa mshahara wa Tshs ngapi kwa afisa mikopo?
Je, mbali na mshahara huwa Kuna benefits zingine ambazo mfanyakazi anapata?
Hallo hata sijui wamekosea au vipi. Nimecheck salary slip ya January nimekuta loan board hawajanikata na hawapo kabisa kwenye salary slip yangu.
Nikapagawa kwa muda ikabidi nicheck status ya loan yangu kwenye website yao, nikakuta napongezwa kwa kumaliza kulipa deni.
Awali mwezi uliopita deni...
Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna benki ambayo ukieenda, utaona kitu cha tofauti sana na benki nyingine kuanzia kwenye riba na mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.