Habari za wakati huu kwa wote mliopo sasa hivi ndani ya jukwaa,,
Ninaomba kwa wenye maarifa na uelewa kuhusu vigezo na taratibu za kupata mikopo ya benki na taasisis mabalimbali anielekeze chochote anachokifahamu,,,Kuna biashara nataman kuzifanya hivyo natafuta maarifa mbalimbali yakiwemo...