mikopo ya online

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni za Mikopo Mtandaoni zinakiuka masharti ikiwemo kuweka Riba 52% BoT, Wizara ya Fedha mpo kimya tu!

    Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ipo wapi? Serikali ipo wapi kwa huu unyanyasahlji unaofanyika kwa Watanzania...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Online gani platforms zimeruhusiwa na BoT kutoa Mikopo? Interest zao zikoje?

    Wadau, baada ya Sekseke ya online platforms kutoa mikopo na kua za kudhalilisha watu ,Benki Kuu iliinglia kaylti na kuweka mwongozo na kufungia platforms ambazo haizkuwa zimesajiliwa. Je, Kwa Sasa ni platforms zipi zinatoa online mkiopo na zomesajiliwa na BOT? Je, interest kwa Mwezi zikoje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…