mikopo

  1. Mjadala: Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa mitego ya Kisheria?

    Je, ni kweli Mikopo na Misaada ya China kwa nchi za Afrika imejaa 'Mitego ya kisheria'? China inaonesha kwenda kuwa taifa kubwa kiuchumi na kuziondoa nchi za magharibi katika nguvu walizonazo. Je, waafrika wategemee kitu gani? Ungana nasi katika Mjadala na Wataalamu na Wadau wa Uchumi, kupitia...
  2. TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  3. P

    Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

    Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.? Form four felia...
  4. NIni maana ya kugawa mikopo ya wanafunzi kwa haki?

    Serikali imeamua kutoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa kutumia chombo kinachoitwa Bodi ya mkopo (Higher education students' loans board, (HESLB)) kwa malengo gani? Je, ni kuongeza idadi ya wanafunzi wanaomudu kupata elimu ya chuo kikuu? Je, ni kuongeza idadi ya watumishi nchini wenye...
  5. Je, inawezekana Bodi ya Mikopo kuwakata wanufaika kwa kurusha/ skipping baadhi ya miezi?

    Kwenu wataalamu, rejea kichwa cha thread hii. Maisha ni magumu Sana, je, loan board wanaweza kukata 15% ya deni kutoka kwa mwajiriwa kwa kurusha baadhi ya miezi? Mfano: 1-3-5-7 au namna nyingine? Nawasilisha
  6. Taasisi ip inayotoa mikopo kwa wastaafu

    Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
  7. Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  8. Bodi ya mikopo (HESLB) kumgomea Waziri. Je, huyu Waziri anatosha?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB. Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
  9. Kila kukicha watu wanaibiwa akiba ya pesa yao na hawa scammers kama Qnet, Scatec, eKyalinda, Mr.Kuku, Global motion Alliance nk

    Nipo kijiji cha Muruvyagira, wilaya ya Ngara njooni mnipige. Mamillioni ya fedha ambayo yamesombwa na yanaendelea kusombwa na haya “makampuni ya kimataifa” kama wajinga wanavyoyaita kwa kujitapa ni ushahidi kuntu kwamba asilimia kubwa ya watanzania tuna uwezo finyu sana wa kupembua na kung’amua...
  10. Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  11. Bunge laitaka Serikali kuhakikisha wanafunzi wenye sifa na wamekosa mikopo kupokelewa Vyuoni haraka

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa agizo hilo Leo Novemba 1, 2022 baada ya kuwahoji Wabunge ambao kwa pamoja wamepitisha Azimio la kuitaka Serikali ihakikishe Wanafunzi wenye vigezo wanaendelea na Masomo. Hatua hiyo inakuja baada ya kuwepo taarifa za Wanafunzi wenye vigezo vya kupata...
  12. Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
  13. Wabunge wataka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ivunjwe

    Bunge la 12, mkutano wa 9 kikao cha kwanza. Wabunge kadhaa wakichangia muswada wa elimu wametaka bodi ya mikopo ya elimu ya juu ivunjwe kutokana na utendaji usioridhisha. Baadhi ya mambo waliyoyataja ni pamoja na Bodi ya Mikopo kuchelewesha mikopo au kutoa mikopo kwa ubaguzi. Wabunge hao...
  14. Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Kuna sakata linaendelea chinichini juu ya baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoendelea na masomo (continuous) kuongezewa Ada,ama kupunguziwa MA(Boom) ,Sasa bodi ya mikopo iweke wazi kuondoa mianya ya rushwa na upigaji wa Ela za wanafunzi!!
  15. Uchambuzi maalumu kuhusu sintofahamu katika utoaji wa Mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Habari za muda huu wana Jf . Mimi kama mdau wa maswala ya elimu hapa Tz hilo suala nimeliona kubwa ,muhimu na linapaswa kupatiwa ufumbuzi. Nimepitia nyuzi mbalimbali humu ,maoni ya wadau ,wanafunzi na utafiti wangu binafsi nimegundua kuwa kuna malalamiko makubwa katika utoaji mikopo kwa...
  16. HESLB yakwepa kuhojiwa kuhusu upendeleo wa mikopo

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi. Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
  17. Sasa ni rahisi kujisajili kwenye vikundi na kupata Mikopo ya 10% ya Halmashauri

    Katika pitapita zangu nimekutana na video inayoonyesha jinsi sisi wajasiliamali tunavyoweza kujisajili mtandaoni na kuomba mikopo ya Halmashauri. Bila shaka hatutasikia tena nakala kupotea au vikundi hewa. Nimefurahishwa na usajili kutumia namba ya NIDA na siyo majina hewa kama tulivyokuwa...
  18. T

    Ombi kwa Bodi ya Mikopo (HESLB): Wasaidieni vijana wa elimu ya juu kwa kuongeza kiwango cha mikopo

    Gharama za maisha zimepanda; hii ikimaanisha bei za vyakula na bidhaa zingine muhimu ikwemo huduma za steshenari, afya, usafiri, vyombo vya usafi na vingine vingi. Ninayo imani Bodi ya Mikopo ya Elimu yavJuu ya Tanzania (HELSB) mnafahamu na kuelewa juu ya kupanda kwa gharama za maisha na...
  19. X

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo

    Wanufaika wapya wa Mkopo zaidi ya elfu 20 HESLB 2022/2023 | Majina ya Waliopata Mkopo Habari njema kwa waombaji wote wa mkopo wa HESLB, Allocation ya mkopo bechi ya kwanza sasa inapatikana mtandaoni kuangalia allocation ya mkopo Tembelea Tovuti ya HESLB ya Maombi ya Mikopo na Mfumo wa...
  20. Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

    Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa. Katika chaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…