mikopo

  1. S

    Serikali na BOT, mbali na watumishi kukatwa mishahara kulipa mikopo yao, watumishi waruhusiwe pia kulipa wao wenyewe waweze kumaliza madeni yao mapema

    Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
  2. Donald Trump na familia yake washtakiwa kwa kudanganya kuhusu kodi na mikopo

    Donald Trump na watoto wake watatu wamefunguliwa kesi ya ulaghai baada ya uchunguzi juu ya kampuni moja ya familia hiyo. Inadaiwa kuwa walisema uongo "kwa mabilioni" kuhusu thamani ya mali isiyohamishika ili kupata mikopo na kulipa kodi kidogo. Waendesha mashtaka wanasema Shirika la Trump...
  3. Je, ni kweli tozo wanazotozwa wananchi zinatumika kulipa mikopo wanayochukua Zanzibar?

    Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara na Wazanzibari as kanakwamba idadi ya Zanzibar na Bara ni sawa. Hivi uwe na maandazi 10, halafu...
  4. Kwa mikopo ya trilioni 12 kwenye bajeti ya 2022/23, Tanzania itakuwa imefilisika kufikia 2027

    Jedwali linaonesha serikali itakopa walau trilioni 12 na pengine misaada ifikie trilioni 2.4 Makusanyo ya ndani wameweka trilioni 28 lakini uhalisia haivuki trilioni 23. Kwahiyo mikopo ni zaidi ya nusu ya makusanyo yote. Maana yake wakikopa hivi kwenye bajeti za miaka minne ijayo (ukizingatia...
  5. Katiba Mpya Idhibiti Matumizi ua Pesa za Mikopo

    Habari ya karibuni kabisa ni Serikali kuchukua mkopo toka South Korea kiasi cha dola bilioni moja. Kuchukua mkopo kwa nchi siyo jambo baya na wala siyo jambo la ajabu. Tatizo lipo kwenye matumizi. Unachukua mkopo kufanyia nini? Sababu uliyochukulia mkopo ina impact gani ya haraka ya kulipa...
  6. SoC02 Serikali ibadili 10% ya mikopo kwa Vijana na wanawake kwenye Haimashauri, badala yake itumike kuendeshea masoko na minada kwenye Halmashauri husika

    Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili za kufikiri. Baada ya UTANGULIZI huo, ngoja nijikite kwenye mada. Bila shaka, Kama wewe no...
  7. R

    Msaada wa namna ya kuprint form and declaration ya mikopo HESLB

    Nikitaka ku print form ya signature and declaration baada ya kujaza all fields katika kuomba mkopo HESLB inasema picha ya grantor uliyowepa can not be printed. Solution yake ni please? Nime i-resise accpording to their allowed size JPG still inakataa. Inaleta msg hii TCPDF ERROR: [Image]...
  8. SoC02 Mikopo ya 10% isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali. Mapungufu na ufumbuzi

    Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
  9. Mikopo ya wavuvi Bil. 20 tulizoambiwa na Bwana Waziri zimepotelea wapi?

    Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi. Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao wanajishughulisha na kazi za uvuvi katika maeneo mbali mbali, tumebaini HAKUNA KIKUNDI CHOCHOTE...
  10. Prof. Mkenda aitambulisha timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kuona namna ya kuboresha utaratibu huo

    Na WyEST, DAR ES SALAAM Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Septemba 5, 2022 ameitambulisha rasmi kwa Bodi na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kwa miaka mitano...
  11. Bodi ya mikopo HESLB eneo la 'select applicant category' halifanyi kazi kwenye online form yenu

    Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu Vijana wanashindwa ku select category Watu wa IT rekenisheni
  12. Nini sababu ya 90% ya wakopaji kushindwa kurejesha mikopo yao?

    Kuna jambo la kustaajabisha sana kuhusiana ya mikopo, mara nyingi mikopo hailipwi kwa sababu zisizoeleweka na imepelekea baadhi ya watu kuona kuwa mikopo ni matatizo katika maisha yao huku wengine wakidai fedha za mikopo hazina baraka nakadhalika. Je, wewe una lipi la kuzungumzia juu ya swala hili?
  13. Msamaha wa Madeni: China yashutumiwa kwa Mikopo ya Mitego kwa Nchi za Afrika

    Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje kutangaza Agosti 20, 2022 kwamba nchi hiyo inasamehe mikopo 23 kwa nchi 17 za Afrika, huku ikiahidi kuimarisha uhusiano wake na nchi hizo baadhi ya wanadiplomasia wameiita hatua hiyo ni ”diplomasia ya mtego wa madeni” Wakosoaji hao wameituhumu China kwa Kukopesha...
  14. SoC02 Utaoji wa mikopo kwa Wahitimu wa elimu ya juu nchini

    Utangulizi Chagamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni tatizo sugu ambapo kama lisipotafutiwa ufumbuzi basi linaweza kulitumbukiza taifa katika dimbwi la unyang’anyi na waporaji na kuwa nchi ya wahalifu maana tunaona wasimamizi na watunga sera ambao si tu wamepewa mamlama ya...
  15. China yasamehe mikopo 23 ya nchi 17 za Afrika

    Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi, ametangaza kuwa serikali itasamehe mikopo 23 iliyokomaa na isiyo na riba kutoka nchi 17 za Afrika zenye uchumi unaoibukia. Hatua hiyo haihusishi idadi kubwa ya mikopo ya hivi karibuni ikiwemo mikopo ya masharti nafuu na mikopo ya kibiashara ambayo kwa mujibu wa...
  16. SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
  17. Simiyu: RC Nawanda aagiza kuvifikisha mahakamani vikundi ambavyo havijarejesha kwa wakati mikopo ya 10% ya halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amemuagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, Simon Berege kuvifikisha mahakamani vikundi vyote vilivyoshindwa kurejesha mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani. Imeelezwa kuwa vikundi hivyo vinahusisha vikundi vya...
  18. M

    Shaka: Rais Samia ametoa fursa za mikopo kwa Vijana, wanawake na walemavu wote hata kwa wale wa kambi za Upinzani

    Katibu wa Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka akiwa katika mwendelezo wa ziara zake kanda ya Magharibi amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari akisema " Chama cha Mapinduzi hakitatazama Itikadi katika kuwanufaisha vijana, wanawake na wenye ulemavu kutoka katika fursa mbalimbali...
  19. Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  20. R

    SoC02 Wamachinga wanavyorudishwa nyuma na taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha (Microfinance)

    Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii ( wajasiriamali) kuweza kupata huduma za mikopo midogo midogo ambayo hawawezi kupata katika Benki. Hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…