mikopo

  1. S

    Wazo: Serikali ishushe PAYE kufikia single digit, kisha Serikali ifanye biashara ya kutoa mikopo kwa wafanyakazi kupitia BoT kufidia kodi itakayopotea

    Mikopo ya wafanyakazi, ni biashara nzuri sana kwa taasisi za fedha hasa mabenki na biashara hii inachangia sana katika faida za mabenki ya kibiashara. Hivyo, badala ya BOT kuendelea kukopesha mabenki ya kibiashara na kisha mabenki haya ndio yatoe mikopo kwa wafanyakazi, nashauri BOT waanze...
  2. Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

    Hii hapa Pakuase flyover. Na hili hapa daraja la Kijazi Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
  3. Naomba kujua kihusu mikopo.

    Iko hivi kuna rafiki yangu alikopa kwenye hizi microfinance kwa makubaliano ya kulipa baada ya mwaka mmoja na aliweka nyumba kama dhamana ,lakini mambo yalimwendea ndivyo sivyo pesa ikavurugika,sasa jamaa baada ya kuona hivyo akakimbia bila hata kunishirikisha. Msaada wangu kujua kisheria:-...
  4. I

    Kwa wanaofahamu, naombeni muongozo wa jinsi ya kusajili kikundi cha hisa na mikopo

    Naam naona kichwa cha habari kimejitosheleza, naomba mjuzi anipe muongozo wa utaratibu mzima wa usajili.
  5. F

    SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  6. R

    Kuna anayejua Pesa za Kodi, Tozo, Misaada na Mikopo zinakwenda wapi?

    Habari JF, Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi. Kila nikijaribu kufuatilia pesa hizi zinatumika wapi sipati majibu sahihi, wengine wanasema JPM aliacha...
  7. 5

    Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali? Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
  8. Mnaofurahia Mikopo, Sri Lanka pia iIianza kama sisi

    Huo ndio Ukweli mchungu kuumeza, lakini usiokwepeka. Sio ujasiri wala ushujaa kwa viongozi kutembea mkifurahia mikopo na kujipiga kifua mbele ya wananchi majukwaani,kama vile ni jambo la kheri na kishujaa kukopa kopa bila Dira ya kitaifa. Mnapaswa pia kutoa elimu kwa wananchi, juu ya madhara...
  9. S

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi la watu wenye mahitaji maalumu

    Ualbino sio ulemavu bali ni kundi lenye mahitaji maalumu. Maana ya ualbino. Ni hali ya upungufu wa chembe chembe za rangi ya ngozi, nywele, na hata macho. Upungufu huo husababisha mtu au mnyama kuwa na ngozi nyeupe au macho yasiyo kuwa na rangi. Ulemavu. Ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu...
  10. A

    Nafasi ya kazi ya Afisa Mikopo

    Kuna nafasi ya kazi ya afisa mikopo kwenye ofisi ya Microfinance. Ni ofisi ambayo ndo inaanza kutoa huduma ya mikopo midogo midogo hivyo inahitaji mfanyakazi mwenye elimu ya diploma ya finance,Marketing, Accounting au Business Administration. Muombaji anatakiwa awe amewahi kufanya kazi kama...
  11. E

    Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

    Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu . Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
  12. Mbunge Dkt. Mhagama aiomba Serikali kuiongeza mtaji Benki ya Kilimo ili isaidie kilimo Nchini

    Mbunge wa Jimbo la Madaba, Dkt Joseph Kizito Mhagama ameishauri Serikali kuisaidia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) maarufu kwa jina la Benki ya Kilimo katika mtaji zaidi ili kukuza kilimo Nchini Tanzania. Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma amemuomba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe...
  13. Gavana BOT aagiza benki zipunguze masharti ya mikopo na riba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia. “Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji...
  14. J

    Kuna mtu alishawahi kupata hii mikopo ya 10% ya Halmashauri inayotetewa sana na wabunge wa CCM Bungeni?

    Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
  15. Mikopo ya dhamana ya kadi ya bank

    Naomba kufahamishwa Kama nimeshindwa kulipa mkopo ambao dhamana yake ulikuwa ni kadi ya bank... Kisheria inakuaje??
  16. S

    Waziri Mwigulu, pitia huu uzi wa mwaka 2016 unaweza kukusaidia kupata vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo

    Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi). Wanachokosea...
  17. Tahadhari: Ipo siku hewa tunayovuta tutailipia kodi ili ipatikane pesa ya kulipa mikopo chechefu

    Hii mikopo tunayobugia kwa pupa hivi tutakuja kuilipa kupitia puani. Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF Muda wa kulipa ukifika, tunaweza hata kuambiwa tulipie hii hewa tunayovuta, maana ni rasilimali ya serikali na tulipe kama tunavyolipa kodi ya ardhi. Unapimwa uzito wako kisha...
  18. Mikopo ya kimkakati ya Ku stimulate uchumi

    Kwa mtazamo wangu Mama anafanya Vizuri sana na pia najua kuwa sio kila kitu kinaweza kufanyika kwa wakati mmoja hata hivyo nimeona nichangie yafuatayo; Ili kuwa na makusanyo ya Kodi makubwa na ya uhakika na kutengeneza ajira nyingi kwa Vijana nafikiri ipo haja ya kutazama upatikanaji wa Mikopo...
  19. Tupeane updates kuhusu mikopo ya Mabenki

    Habari waungwana wa jf. Taarifa nying kuhusu mikopo kutoka Taasisi za kifedha nchini ( Bank) ni za muda Sana. Binafsi nafikiria kwenda kuomba mkopo CRDB au NMB. Naomba maoni kutoka kwenu wadau juu ya Mambo Kama. 1. Riba. 2. Masharti. 3. Ubora wa huduma n.k Mkopo ninaoomba dhamana...
  20. T

    Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

    UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO. TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU. ●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi ●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu ●Muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…