Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini Dar.
Kiwanja katika sehemu unayoweza kuoangisha chumba 80,000 kinaweza kukugharimu milioni 10-15...