Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa👇👇👇👇
Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu, "Baby vipi...
kabila hutambuliwa kwa Lugha, Mila, Miko, Majina na matambiko , hapa tutagusia matambiko .... Hakuna mtanzania asiye na tambiko, kila kabila alilotoka lina tambiko lake .
yapo makabila ambayo.97% ya kabila hilo ni wakatoliki lakini matambiko ya kiukoo yanaendelea na wazee wamila...
USIPOKUWA MAKINI UNAWEZA KUPATA MIKOSI, MABALAA NA MAGONJWA YA AJABU CHOONI!
Anaandika, Robert Heriel
Moja ya dalili ya mtu mwenye akili ni kujua kutofautisha vitu visafi na vichafu, vitakatifu na Najisi.
Ikiwa mtu yoyote atashindwa kutofautisha vitu hivyo basi ni kiashiria kuwa ni...
Mababu zetu walikuwa wanajali sana masuala ya muhimu hasa linapokuja suala la kuondoa majanga katika jamii.
Ilikuwa ikikosekana mvua na dalili za ukame kuwepo mababu zetu walifanya makafara na mizimu iliweza kulinda taifa letu.
Sasa hivi kuna balaa la ajali limeandama taifa letu. Hapa...
Habari za muda huu!
Kufuatia uzi wa tycoon wa fasihi ndugu ROBERT HERIEL alioeleza sababu za watu wengine kuishi umri mrefu na wengine umri mfupi, kuna nukta alieleza kwamba tunapaswa kuwaheshimu wazazi hata kama mameshakufa! Na akaeleza kwamba tutawaheshimu kwa kutembelea makazi yao(...
Tendo la ngono linabeba bahati, mikosi na hata laana za watu unaolala nao usipokuwa makini unaumia.
“Kuna mwanamke/Mwanaume ukilala naye bahati zinakutembelea na Kuna mwingine, utajuta”
“Kuna watu wana laana za ukoo ukilala nae na wewe unazibeba mikosi inaanza”
“Kabla hujalifanya tafakari...
Habarini ndugu zangu.
Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali..
Pia nna mwingine ye baada ya...
Habarini.
Kuna ile hali ya baadhi yetu, huwa katika kila mahusiano mapya unaingia unajikuta hayadumu hata ukijitahidi kuwa vizuri maeneo muhimu. Na hata ukijituma bado utajikuta ndani ya huo uhusiano amani inakuwa haipo na utulivu unakosekana.
Mojawapo ya sababu ni mahusiano tuliyokuwapo awali...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe.
Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.