Salamu, Heri kwa siku kuu ya Krisimasi.
Ndugu zangu ,leo tunaadhimisha
Dominika ya Familia Takatifu.
Katika muktadha huo, nimependa tujadiliane juu ya malezi ya watoto wetu hasa kuwafundisha mila na desturi njema za wazee wetu.
Wazazi tunawajibu huo kwasababu wengi wetu tumeacha kuwafundisha...
Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza.
UPDATES
- Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii.
Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa.
Mantiki yangu:
Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why?
Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani?
Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba...
Hello Jamiiforum, moja kwa moja kwenye mada.
Neno ndoa linachukuliwa kirahisi sana kwa sasa, na hii inachangiwa sana na Mambo yafuatayo. Mwanamme kuishi na mwanamke pasipo kuoana, almaarufu Kama sogea tukae.kwa ieleweke mwanaume huwezi kupewa heshima inayostahili kwakuwa wewe si mume kamili...
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.