Uongo alimwambia Ukw eli, "Hebu tuoge pamoja, maji ya kisima ni mazuri sana.
Ukweli, akiwa bado na mashaka, alijaribu maji na kugundua kuwa ni mzuri. Basi wakavua wote nguo wakawa uchi na kuanza kuoga.
Lakini ghafla, muongo akaruka kutoka majini na kukimbia, akiwa amevaa nguo za Kweli...