milele

  1. Komeo Lachuma

    Kwa wapinzani hawa, CCM haitatoka madarakani milele

    Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia...
  2. nusuhela

    Vodacom nitawachukia milele

    Vodacom Tanzania kama mpo humu naomba hizi habari ziwafikie. Mimi ni mteja wenu mkubwa sana. Tena mteja kindaki ndaki. Sina line ya mtandao mwingine wa simu zaidi ya line hii moja iliyonayo. Ndugu zangu wengi wapo mitandao mingine, najitahidi kumudu gharama kuwasiliana nao ili tu nisiachana na...
  3. C

    Wanaume waheshimiwe milele

    Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani... Wanaume wana roho nzurii jamani.... Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na jua mwanamke anashinda anaangalia season, mwanaume akirudi hela ni za familia sio zake tena...
Back
Top Bottom