milele

Milele is an urban gospel and humanitarian group composed of Kanjii Mbugua, Harry Kiiru, Christian Mungai and Kaima Mwiti. The group formed after the longtime friends who were originally from Kenya met in Pomona, California at a prayer breakfast in 1998. Milele, which means "forever" in Swahili has performed alongside gospel artists like Andrae Crouch and Helen Baylor and recorded four albums, Forever, Level up, Afrique and their most recent recording, Monday. Apart from the music, Milele has also launched many campaigns in Africa with the purpose of providing means for impoverished African communities to gather strength to make steps towards better living standards.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
  2. Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi 2025, tunyamaze milele

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu amewataka watanzania kuungana na Chama hicho katika madai ya kupata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (2024) na Uchaguzi Mkuu wa 2025. Lissu ametahadharisha kuwa Katiba Mpya isipopatikana kabla...
  3. Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

    Je, 1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu? 2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho 3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili? 4...
  4. Serikali isipochukua hatua kali kwa Wafanyakazi wa TRA wanaotuhumiwa kwa rushwa, wafanyabiashara wataathirika milele

    Hima hima Tanzania.🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Waziri mkuu, Jana tarehe 17/05/2023 katika mkutano wako na wafanyabiashara wa k/koo asilimia kubwa ya wachangiaji waliwanyooshea kidole baadhi ya wafanya kazi wa TRA kwa RUSHWA iliyokithiri. Kilichonishangaza hukutoa Kauli yoyote Kali ya kushughulikia changamoto hiyo...
  5. Je, ni kweli Michael Jackson alikuwa analala kwenye chemba maalumu ili aishi milele?

    Hii haiwezi kuwa habari mpya sana kwa wengi wetu humu. Makala nyingi zimeandika habari hiyo kuwa ni kweli. Lakini mimi naijumuisha katika moja ya conspiracy theories. Ni kawaida sana kwa mtu mashuhuri kuwekewa habari nyingi za uongo kwa media ili ku catch attention ya watu. Kumbuka 27 Januari...
  6. Pamoja na udhaifu wake wote ilionao, ni kwanini CCM inaamini itatawala Tanzania milele?

    Hicho chama kinahusika kwenye kila madudu yanayotokea kwenye nchi yetu. Hakuna jambo baya kwa Watanzania ambalo halijatokana na CCM kuwa madarakani. Lakini CCM wenyewe kwa kujiamini kabisa wanasema kwamba watatawala Tanzania milele? Haya ni maneno yanayoonesha CCM ina kiburi cha uzima kiasi...
  7. Baada ya kufa sitaki niwe kwenye species ya waafrika, sitaki nakaataa milele

    Hapo vip!! Tokea nije katika sayari hii ya Dunia sijawahi kufurahishwa wala kupenda kuzaliwa katika jamii hii nyeusi ya kiafrika.Ni jamii ninayoichukia sana na angali nipo miongoni mwao. CHuki niliyozaliwa nayo dhidi ya jamii ya watu weusi imekuja kupaliliwa sana na mambo yafuatayo. Kwanza...
  8. Tuzikatae ndoa kila iliyo sasa,leo , kesho na hata milele hapa duniani

    Salaam JF, Hii ni kwa wale walio muelewa Dr Mwaka, kwa hekima na busara zake, tunaokataa ndoa tunakataa na sababu nzito tunazo sisi na hadithi ya Adam na Hawa pale bustani ya Eden ni toshelevu usipoelewa basi. Tenda wema kadri ya uwezo, penda, timiza, furahi. Wema usizidi uwezo. Wengine...
  9. K

    Baada ya kumsikia Tundu Lissu juu ya ukomo wa madaraka ni anasa kwa CHADEMA, imani juu ya upinzani imetoweka kabisa. CCM itawale milele

    Siku Daktari wa Sheria na Spika wa bunge Mhe.Tulia aliposema CCM haitoacha dola kamwe , kwa mara ya kwanza nilishtuka lakini baada ya kujiridhisha na hotuba nzima, nakiri kusema nukuu ya kipande hicho kinatumika kupotosha. Siku zote natumia kanuni ya Thomaso, kujiridhisha kwa kuona na baada ya...
  10. L

    Upinzani ujikite kutafuta viti vya ubunge na siyo kiti cha urais maana hicho ni cha CCM milele

    Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio...
  11. Hivi binadamu akiishi milele si maji na hewa na sehemu kubwa ya ardhi vitaisha ili kumtengeneza?

    Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
  12. Wanawake wahaya mbarikiwe alowafundisha kupapasa mgongo vizuri tukiwa juu aishi milele

    Wasalaam, Jamani Kwa uchache hio ni sifa nzuri ya wanawake wa kihaya hawaboi mpapaso au mtomasowao ukiwa juu kama wote huku akiviringika, naomba kwa heshima wanawake wa makabila mengine sio vibaya mkaiga. Wadiz nikiwa katika meditation ya penzi la kihaya
  13. D

    Kwa walioyafanya wanaojiita wanamapinduzi kwenye hii nchi ni dhahiri kabisa hii nchi itaendelea kuwa na laana ya milele

    Waliuwa watu karibu 20,000 kwenye mapinduzi yale na wanendelea kuua na kutesa watu hadi hi leo. Ni ngumu sana hii nchi kuendelea kwa Laana hii, hata tungekepewa rasilimali za ulimwengu mzima tungekua maskini tu. Kinachosikitisha zaidi ni kuona common Men wakishabikia mambo ya kikatilia kama haya.
  14. Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

    Babu yake alikuwa Akida sijui Liwali kwenye serikali ya kikoloni. Baba yake akawa DC kwenye serikali ya Nyerere. Mtoto mtu akawa Rais, na bado ana ushawishi. Mke wake ni mbunge. Mtoto ni naibu waziri na bado umri wake ni mdogo unamruhusu kupambana. Bado ana watoto wengine wanakua, wengine...
  15. Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  16. Swali: Zawadi ya Mawe yasiyoonekana Milele ni Zawadi Gani?

    Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na...
  17. BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani. Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
  18. M

    Afariki baada ya kuanguka chooni kwa kupigwa stroke

    Wakati wa JPM alishtakiwa kwa uhujumu uchumi akasota rumande miaka minne. Mwaka jana akaachiwa kwa NOLE. Aliporejea nyumbani akakuta biashara zake zimekufa. Mke ana mtoto mwingine aliyezaa nje ya ndoa. Mke anadai hakuplan ku-cheat ila changamoto za maisha zilimlazimisha. Baada ya kila kitu...
  19. Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  20. Rais Samia tusaidie, Polisi wanatumaliza, Polisi ilindeni CCM itawale milele ila roho zetu tuachieni

    Najua Polisi wa Tanzania wamejipa jukumu la kuhakikisha rais unatawala Milele. Waambie wakutetee lakini roho zetu watuachie. Watanzania wote ni ndugu uwe Polisi Mgambo au Mpiga debe Soma Ujumbe kaandikiwq baba Askofu ===== POLISI WAFANYA MAUAJI YA KUTISHA KIJIJI CHA IKWAMBI, KATA YA MOFU...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…