Njiwa🐦 peleka salamuu kwa yule wangu muhibu 🥰
Umueleze, afahamu... yeah ndio wangu wa kuzikana...😇.
Hali yangu hamuhamu, Mahaba yamenisibuu..
Mchana kutwa nachekaa (tabasamu), na yeye ndio sababu. Na jioni ikifika, kumbato lake nahitaji.. 🤗
Pendo langu kwake halichuji, ndilo laniongezea Mahaba...