Kwa siku sita sasa, wakazi wa Buza tunaendelea kuishi katika mazingira hatarishi baada ya taka kurundikana katika maeneo mbalimbali bila kuondolewa na mamlaka husika.
Gari la kukusanya taka linalosimamiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Temeke lilipita mtaani likitoa tangazo kuwa wakazi watoe...