milipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
  2. Milipuko ya Magonjwa je kuna Upigaji na utakatishaji fedha ?

    Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie. Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
  3. James Mhilu: Yanapoibuka Magonjwa ya Milipuko kunaibuka wimbi la taarifa za upotoshaji

    Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma imesisitiza juu ya umuhimu wa taarifa sahihi katika nyakati ambapo yanaibuka magonjwa mbalimbali ya milipuko nchini. Akizungumza leo October 4, 2024 katika mafunzo na Wanahabari yaliyoratibiwa na Kitengo Elimu ya Afya kwa Umma kuhusu...
  4. Sababu gani hufanya Kongo iwe na visa vya milipuko ya magonjwa

    Naomba kujuzwa kwanini homa homa nyingi za milipuko huwa lazima kesi zitokee jamhuri ya kidemokrasia ya kogo..mfano ebola,homa ya nyani,n.k
  5. Kabla ya milipuko sauti gani husikika ?

  6. Serikali tunaomba ufafanuzi wa milipuko ya kila siku katika Milima ya Uluguru

    Nikiamini kwamba ulinzi wa taifa unaanza na sisi raia. Na kila raia ana wajibu wa kulilinda taifa. Ninaomba kuiuliza serikali hii milipuko mikubwa inayosikika kila siku nyuma ya milima ya uluguru ni ya nini? Kila siku kwa muda wa miezi miwili sasa kuna milipuko mikubwa sana nyuma ya Milima ya...
  7. Syria kunaendelea kuwaka moto, milipuko kote

    Israel inaendelea kutamba..... https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1775634263309783456
  8. Kipindi cha Covid-19 ilipunguza magonjwa ya milipuko kama kipindupindu, red-eyes na typhoid sababu ya kila sehemu kulikuwa na ndoo za kunawa mikono

    Ugonjwa wa covid19 ulipoingia tulijaribu kuweka mbinu nyingi kila mtu kujua atajisaidia vipi ili kujiokoa na gonjwa ili sitosahau mpaka malimau yakapanda bei. Serikali ikaweka mpango maalumu wa kila sehemu kuhakikisha kuna ndo ya maji safi na kila sehemu utakapo kwenda kunawa mikono kabla ya...
  9. Idadi ya raia walioathirika kwa milipuko yaongezeka kwa 112% mwaka 2023

    2023 umetajwa kuwa Mwaka ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo na majeruhi ya raia kuliko wakati mwingine wote ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, hiyo ni kutokana na Utafiti wa Shirika la Kutoa Misaada Kuhusu Vurugu za Kivita (AOAV) la England ambapo Utafiti wake unatumiwa na majukwaa ya...
  10. Moscow, Urusi ndani kunawaka moto mkubwa baada milipuko,

    Muendelezo wa alichoahidi Zelensky, Moscow wakae mkao wa kupokea salamu za madude yanayopaa juu yao.... August 10, 20233:54 AM GMT+3Updated 9 hours ago Aug 10 (Reuters) - Russia's emergency service said early on Thursday that an auto repair shop caught fire in Domodedovo outside Moscow...
  11. S

    Ukraine yasikitika kuwapoteza kwa mpigo wataalamu wake sita wabobezi wa vilipuzi/mabomu

    Kimbunga cha dhahama cha makombora ya Russia kilichopita Kherson kimewakumba na kuwaangamiza wataalamu sita wa jeshi la Ukraine ambao walikuwa ni magwiji na wabobezi wa kutegemewa katika fani ya vilipuzi (mabomu). Jeshi la Ukraine linasikitika kwa kuondokewa na wabobezi hao kwani pengo lao...
  12. Drones zaendelea kufanya mambo ndani ya Urusi, matukio ya moto na milipuko

    Supapawa alingia cha kike, haitokuja aishi kwa amani baada ya udhulumaji wake Ukraine.... Two separate fires were reported in the Russian region of Begorod on Monday. A thermal power plant caught fire in Belgorod, Russia, causing an electricity blackout on Monday. Russian propaganda reported...
  13. Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  14. Bungeni: Milipuko ya mabomu Mbagala yatafuna Tsh. Bilioni 17.4

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilitumia kiasi hicho kuwapa pole waliothirika na milipuko iliyotokea Aprili 29, 2009 katika Kambi ya JWTZ KJ 671 na kuua zaidi ya watu 29. Amesema wananchi 12,647 waliathirika na mlipuko huo uliosababisha huku watu kujeruhiwa na familia nyingi kukosa...
  15. Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  16. Mingurumo au milipuko usiku huu Dar es Salaam

    Niko Manzese nasikia milipuko muda mrefu mnaisikia au masikio yangu tu? mwanzo nilijua radi ila bado inaendelea kuna nini?
  17. A

    Milipuko ya ajabu

    Ee bwana weee..leo usiku wa kuamkia tarehe 23 niliona PT imenipita sehemu speed around 2355 Kufika sa 0000 nasikia milio risasi si risasi mabomu so mabomu Niko mwenyewe sijui nikimbilie wapi nikawa nasubiri nione wanapokimbilia badae nikasema wacha nitoke nione ndo kushangaa anga linameremeta...
  18. Ukraine yaishambulia tena Crimea, milipuko yaripotiwa

    Ukraine yaripotiwa kufanya Mashambulizi ndani ya Crimea na kusababisha mlipuko kwenye ghala la silaha. Urusi yakanusha kwamba ni shambulio yasema ni ajali. ============= KYIV, Aug 16 (Reuters) - Explosions shook an ammunition depot in Russian-annexed Crimea on Tuesday, the latest such incident...
  19. Baada ya Crimea, matukio ya milipuko mingine yaibuka kambi za jeshi Urusi na Belarus

    Nahisi kuna ujumbe unatumwa kwa Putin kwamba popote kambi na kinaweza kikanuka hata sebuleni kwake kiaina bila kombora kutumwa kutoka Ukraina.....kwamba humo humo jeshini kwake wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuliamsha.... Military bases in Russia and Belarus were rocked by an outbreak in fires...
  20. Milipuko yarindima ndani ya mji wa Urusi

    Majengo yalipuka huku milipuko ikiendelea.... ====== Russia has accused Ukraine over explosions which reportedly killed three people in the city of Belgorod, near the border with Ukraine. The regional governor said the blasts hit dozens of residential buildings and air defences had been...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…