milipuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gama

    Mji wa Bolgorod wa Urusi washambuliwa kwa milipuko

    Mji wa Bolgorod uliopo Km 40 kutoka mpaka wa urusi na Ukraine umapatwa na milipuko uliosababisha nyumba kadhaa kuharibiwa na watu kadhaa kupoyteza maisha. Kiongozi mmoja wa Urusi ameapa kuwa ukraine itawajibishwa kwa tukio hili FUATILIA HAPA Explosions Hit Russia's Belgorod as Governor Says...
  2. Lady Whistledown

    Afghanstan: Watu sita wauawa baada ya shule ya Abdul Rahim Shahid kukumbwa na milipuko miwili

    Takriban watu sita wakiwemo wanafunzi wameuawa na wengine 11 kujeruhiwa baada ya milipuko miwili kulenga shule ya wavulana katika kitongoji cha Dasht-e-Barchi katika mji mkuu wa Afghanistan, msemaji wa polisi wa Kabul amesema. Khalid Zadran aliliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumanne...
  3. Miss Zomboko

    Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

    Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe mtoto wako kwamba hutalegeza msimamo wako. Elewa hali yake. Mtoto wako si mtu mzima. Kwa kuwa hajui...
  4. Kichwamoto

    Milipuko Jiji la Kampala na msemo wa Kiswahili "Mgema akinyolewa tembo..."

    Banzukulu nawasalimu kwa jina la Mungu Baba. Nianze moja kwa moja na maudhui, katika hali ya kushangaza Uganda hasa katika jiji la kampala kumetokea milipuko iliyopewa jina la milipuko ya magaidi iliosababisha vifo kadhaa na majeruhi katika makumi, katika siasa za kikanda ulinzi wa pamoja na...
  5. Roving Journalist

    Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  6. Analogia Malenga

    Milipuko ya gurunedi yakumba Bujumbura

    Idadi ya watu wasiojulikana huenda wamejeruhiwa katika shambulio la gurunedi usiku wa Jumatatu katika mji mkuu wa kibiashara wa Bujumbura nchini Burundi. Walioshuhudia tukio hilo wanasema milipuko miwili mikubwa ilisikika baada ya gurunedi mbili kulipuka katika kituo cha mabasi kilicho na...
  7. sisya

    Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

    Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga. Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna. Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa...
Back
Top Bottom