Mimi ni tenderer kwenye mfumo wa NEST ambao mwanzoni ulikua mzuri kabisa.
Na kama kijana nilihamasika kucomply ili niweze kuwa naomba kazi za Serikali. Ni fani ya Ushauri Mazingira. Lakini kwa sasa pamekua pagumu sana. Hakuna kazi na kazi ikitangazwa anatafutwa mtu. Then huyo mtu anatafta wa...
Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34.
Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka 2012 nilisoma diploma ya ualimu pale university of Zanzibar na kumaliza 2014 na 2015 nikapata ajira...
Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo,
Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho kuzaliwa kwenye tumbo letu ni mjamzito na mimi kaka mkubwa kwenye familia nafichwa, sababu dada alikuwa...
Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi
Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
Jf, kuna watu wametu-inspire, mambo mengi bila hata wao kujua. Kupitia mada hii wataje/mtaje member, aloku-inspire ktk jambo fulani.
LIST YANGU:
1. WALONI-INSPIRE KTK SANAA YA UANDISHI
Robert Heriel Mtibeli, MALCOM LUMUMBA, yoga, Nifah, Da'Vinci.
2.WALONI-INSPIRE KTK UCHESHI
Ushimen, KENZY...
Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko.
Hoja zangu ni hizi:-
1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke yake ndio anaweza kushiriki uchaguzi wa October, 2025 akiwa anajua kwamba asilimia 85 ya wagombea...
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe...
HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI)
VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema;
"Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
1..Simba haipangi matokeo kwa namna yoyote Ile, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
2....Simba Haina reserved team kama upande ule, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
3....Simba ndio timu pekee iliyobaki kwenye mashindano ya Caf, ASIPO CHUKUA UBINGWA NIULIZWE MIMI
4....Waambie huo upande wa...
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi...
Salaam nyingi kwenu wana JF… niliwamiss sana humu ndani
Leo bwana nimeleta confession yangu juu ya huyu Kijana nilikutana nae humu JF...
Nichukue nafasi Hii kukushukuru sana kwa kuwa na mimi katika kipindi kigumu nilichopitia.. pamoja na madhaifu yangu uliweza kunivumilia hivyohivyo.
Mara ya...
Hili nadhani ni tatizo la akili au sijui nini, yani tukipishaba kauli, kila kinachonihusu mimi kinafutwa hadi namba ya simu.
Baadae ana isave tena namba yangu ila ananisave majina ya ajabu ajabu, nimepiga mikwala ila imeshindikana, kuna mwenye experience na hili?
Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu"
Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini
Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo
Mara ghafla kanununua range rover, anapanga...
Miaka mingi sana najificha na sitaki zungumzia haya mambo lakini kwa kile nlichokiona usiku huu nimeamua tu kumwaga mboga kwakua wao wamemwaga wali. Niulize chochote nitakujibu elimu yote ipo hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.