Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi:
1-Mapinduzi "matukufu"!
2-Bunge "tukufu"!
Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi.
Ni kama kulikua na bia XYZ...
Inasema.....
Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani.
Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 )
Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu...
Leo tena Tanzania imeshuhudia kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na kerozini. Haya ni maumizi kwa wananchi na serikali haina namna ya kufanya kuleta aueni kwa wananchi. Bei ya mafuta kote duniani haijatulia kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine.
Swali la kujiuliza ikiwa mishe zako...
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala...
MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU
Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon.
Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi.
Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia hadi kizingitini kwako nchi yoyote ulipo kiwe ndiyo kwanza kimetoka kuchapwa au cha zamani sana...
RC Chalamila amewachana wakuda wake kuwa kwenye suala la 'one & two' a.k.a ndondi a.k.a ngumi jiwe, yuko njema na anazichapa kweli kweli ukimzingua.
Aidha, Mh RC ameongeza kuwa yeye kuhusu kuchomoa mashine na 'kukinukisha' huwa ni dakika mbili tu, na hakuna mtu yeyote wa kumfanya chochote...
Wakuu salaam...
Naishi uswazi..ile nyumba kubanana, milio ya mafeni usiku kucha na maredio. Kutokana na mishe zangu huwa inanilazimu kurudi home kati ya saa 7 usiku au 8usiku ndio naingia ndani.
Nawasha taa, kisha nafanya maandalizi ya kulala. Maana naishi peke yangu. Kutokana na mbanano wa...
"Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC.
Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
Bwana Yesu asifiwe watu Mungu.
Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine.
Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
Iko hivi, wiki mbili zimepita nilikua kiwanja kimoja maarufu sana hapa Dar nikavutiwa na mrembo mmoja nikamuita akanipa namba na nilipotaka kuondoka nikataka kuondoka nae ila akasema amekuja na kampani yake ya mabinti wengine na wana mpango wa kuondoka wote. Nikasema isiwe kesi, basi tutaonana...
Watanzania hawajui mana ya economic diplomacy. Wala hawajui uwekezaji maana yake nini umaskini wao wanaufurahia sana hata kama wanakufa poa tu.
Wanaamini sana Rais anayefoka foka ili wapate kwa kudhani kwamba ni relief kwao ili watanzania wote wafanane.
Ndo mana Hayati Magufuli alipenda na...
Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa.
Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa...
Ukikasirika na huu Ukweli wangu Mchungu GENTAMYCINE toka hapo Nje Kwako ukiona Muuza Dawa za Sumu ya Panya nunua haraka, Korogea katika Kikombe cha Maji kisha Kunywa ili Upumzike kwa Amani na Mazima.
ANGALIZO
Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na...
Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa
Kula chuma hiko
---
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
Airtel tafadhalini msiniletee ujinga wenu wa meseji za Upige Mwingi, kwenye hizi meseji zenu eti mnanizawadia muda wa maongezi, meseji na mb za intaneti vyote hivi mnanitaka nianze kuvitumia kuanzia saa 6 kamili usiku na kuishia saa 12 alfajiri! Mimi siyo mwanga.
Niliponunua simu sikuwahi...
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano 0786168340
Mtu kama Samia hana mvuto wowote wa kisiasa,hajui chochote cha uongozi,huo uraisi kaupata kwa bahati mbaya tu coz hakua planned kabisa kuwa hata waziri wa Mambo ya nje au fedha,imetokea tu bahati tu hii hapa na wajeda wakaamua kufuata katiba ya JMT.
Mtu kama huyo eti anakaa kabisa kummbeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.