Habari wapendwa.
Leo naanza kwa kumshukuru Maxence Melo kwa kuanzisha hii platform ambayo leo nitaitumia kusema kitu ambacho nikikisema ktk maisha yangu halisi nitaonekana wa ajabu na nina hakika kuna wapendwa wangu watanitenga hivyo nitawaambia nyie japo najua mtanipopoa sana leo ila nataka...
Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa Habari, baada ya Chama CHADEMA kupanga kufanya kongamano la maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani...
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa
Pia soma:
Kuelekea 2025 - Msajili...
Ukienda Kanda ya Ziwa kilimo cha pamba kimekufa na ile mikoa sasa ina idadi kubwa sana ya masikini kwa sababu moja ya zao walilo kuwa wanategemea sana enzi na enzi lisha kufa.
Kahawa mikoa ya kaskazini inaendekea kufa,Kilimanjaro kule hakuna mtu anataka kulima kahawa tena, kote huko Arusha na...
Hii imekaa kiwaki sana. Nimejaribu kuassume tokea majuzi, naona haiingii akilini kabisa. Mfano ulio hai, nina mke, Mama Chanja. Kusema kweli ninavyovipata kwa Mama Chanja sijawahi kuridhika, kwanza nimezoea na isitoshe siku ninapoitaka, yeye anakuwa out of mood, siku ambayo nimepiga zangu vileo...
Sijui niandike vipi aisee!
Wanawake hakika wana upeo kutushinda wanaume, na kila atakayemsikiliza mke wake atafika mbali.
Kuna jambo nilikusudia kufanya nikawa na pesa pungufu, nikataka nifanye kwa uchache wife akasema usifanye hivyo hebu tulia tunza fedha ulifanye hili jambo kwa ukubwa na kwa...
JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
Mimi kama Mwanayanga lia lia naunga mkono hatua ya mahakama tutengua uongozi uliopo kwenye club yetu. Kwani haukuzingatia katiba yetu.
Wazee wameupiga mwingi tuwapongeze, tusiwabeze, kwani wanateta maslahi ya club yetu, uongozi uliopo ni wakijanja janja tuukatae.
Kesho asubuhi na mapema...
Usiyoyajua kuhusu mimi
1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji.
2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria.
3. Nikiamini jambo linawezekana nitamini hivyo mpaka nikilifanya likashindikana.
4. Simbembelezi mtu kunipenda, kununua...
Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba.
Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12...
Kwanza najikwatua kwa sana, na napiga pamba za ukweli, na naenda viwanja vya maana.
Naishi apartment nzuri, siyo kama ma-mates zangu, wengine wamepanga nyumba mbaya mno, wale wanaoishi nje ya mji ndiyo wamepanga nyumba nzuri.
Vacations nazipiga kama zote. Na natembea na mtu ninayemtaka bila...
Eeh bhana
Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha.
Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo.
Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...