mimi

  1. rolex_photographa

    Nafanya kazi ya kudesign graphics, ukinihitaji tafadhali nitafute

    Graphics design zote ninafanya. Ukinihitaji nakutumia CV yangu unaipitia. Mawasiliano: 0743442532
  2. M

    Mtaji nitafute mimi, biashara nianzishe mimi, wewe uamke uje kunitishia , eti ni serikali, dunia ni kubwa sio lazima kukaa kariakoo

    Maneno ya rafiki yangu mkinga . Kama mnavofahamu , mchakato wa kusimama kibiashara ni mgumu sana , serikali wao wanawaza kukusanya tu Kwa sera zao mbovu. Hakuna mfanyabiashara anaweza kukataa kulipa kodi hayupo , lakini kodi iwe stahimilivu inayoweza kulinda biashara yangu na sio tozo na kodi za...
  3. covid 19

    Penzi letu na mpenzi limevuja tena ndio bye bye limeishaa! Almost 4 years ila sio riziki isee!

    Jamani ndo hivyo limeshavuja tena nimebaki napuliza majivu maana moto siuoni.. ndio ameshatoboa mtungi majii yananimwagikia tu pwaaa!pwaa! Zile sifa zote alizoniambia kwamba kama mimi hajawahi kumuona ila nashangaa hakuniambia alivyokutana nae! Dah....!
  4. M

    Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  5. M

    Mimi maombi yangu ni kuwa viongozi wapige marufuku waganga wa kienyeji.

    Sipaji jibu kwa nini viongozi mnakumbatia waganga wa kienyeji kwenye nchi.Ninaomba sana watu Hawa wapigwe marufuku wasiwepo Tena.Kwenye hii Karne ya sayansi na technolojia sidhani tunaohitaji Tena waganga wa kienyeji.Ni kundi la watu ambao ndani yake Kuna utapeli usioweza kuelezeka.ili tuepukane...
  6. Dumuzii

    Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

    Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu. Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao. Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine.. Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
  7. Nyamwi255

    Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

    😁🤸
  8. Eli Cohen

    Kitabu cha TOBA kina msaada mkubwa kiroho. Mimi Nina ushuhuda.

    Kitabu kinaitwa TOBA na kimeandikwa na Mai Godrey. Ni kitabu chenye sala za TOBA za aina nyingi ambazo ukizisali kwa Imani na utulivu unatengeneza ukaribu na Mungu wako. Kuna wakati nilipitia changamoto nzito na nikachagua moja ya sala za TOBA kwa siku 21 nikawa naamka saa 8 usiku na pia...
  9. KakaKiiza

    Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

    Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!
  10. U

    Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea? Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
  11. M

    Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu

    "Nimeshakutumia Whatsapp na usinisumbue" Kwakweli Mimi hapa lazima nikusumbue tu, eti Otikiiii 😂 😂 🤣
  12. G

    Nimehitimu Kidato cha Sita, nina lengo la kusomea sheria. Vigezo vyake vinakuwaje?

    Mm mwanafunzi niyemaliza kidato cha sita ninalengo la kusomea sheria vigezo vyake vinakuwaje kulingana na ufahulu
  13. Mjanja M1

    Picha: Unajua mimi ni nani?

    "Kuwa Makini kijana nitakupotezaa"
  14. Nahman

    Furaha ilioje, leo mimi ni baba wa mapacha!

    Natumaini ni wazima ndugu zangu Asante mungu kwa zawadi hi kubwa ya kihistoria kwenye maisha yangu Kwa hakika mungu akubaliki wewe mwanamke uliebeba viumbe hivi tumboni kwako. Hadi sasa natafakari zawadi ya kukupa nakosa. Ulinipigia na kuniambia, Nahman unaendeleaje na kazi. Hongera tumepata...
  15. Unique Flower

    Mimi sio single tena

    Nadhani heading mmeiyelewa . Asanteni na usiku mwema. So nimewahiwa na mtu ninayempenda. Mafree manson naombeni mniache,namuache kutumia watu(group la makafara ) niacheni tafadhali. Mniache kwa damu ya yesu kristo.
  16. Surya

    Upendo una viwango, nimegundua mzazi wangu ananipenda kwa kiasi kidogo sana

    Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ? Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu kila wakati na kukutumikisha kama mtumwa, siku ukizipata anajileta kama mzazi sasa na yeye anaanza...
  17. uhurumoja

    Ni Mimi tu au wote tunaona Pacome bado hajapona na ana struggle sana kucheza

    Kwa mechi kama tatu tangu arudi uwanjani baada ya kelele kuwa nyingi bado naona Pacome hajawafiti kucheza game tough na game ya final FA anahitajika sana nadhani game ijayo atapumzika. NB: Hawa wachezaji walindwe au wajilinde na vishangazi aina ya mobeto vile havijui chochote kuhusu mpira...
  18. L

    Mimi ni dereva wa tax mtandao yaan Bolt au Uber

    Mimi ni dereva wa tax mtandao naishi kinondoni naitaji gari ya mkataba ninauzoefu wa udereva miaka saba Kwa mawasiliano 0677938003 0658755355
  19. Erythrocyte

    Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

    Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero
  20. Mto Songwe

    Baadhi ya watoa huduma hasa wanawake customer service zao sio nzuri

    Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi? Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana. Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
Back
Top Bottom