minara ya mawasiliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini minara ya mawasiliano juu ya ghorofa inakuwa mingi?

    Unakuta kwenye resident buildings pemben kuna hotel pemben kuna jengo lingine refu ila yote ya minara kibao ni ya kazi gani hiyo. Na je ni ma provider wa telecommunications ndo wanayoiweka au ni wamiliki wa jengo husika...kwa sababu mtaani tunaona mnara mmoja tu unahudumia karibu mtaa mzima...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Huduma za Mawasiliano ndiyo benki zenu Vijijini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye, Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya kuwa wepesi wa kusaidia upatikanaji wa ardhi na kuidhinisha vibali kwa ajili ya ujenzi wa minara kwa wakati ili wananchi waweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…