Kwanini minara ya mawasiliano juu ya ghorofa inakuwa mingi?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Unakuta kwenye resident buildings pemben kuna hotel pemben kuna jengo lingine refu ila yote ya minara kibao ni ya kazi gani hiyo. Na je ni ma provider wa telecommunications ndo wanayoiweka au ni wamiliki wa jengo husika...kwa sababu mtaani tunaona mnara mmoja tu unahudumia karibu mtaa mzima iweje jengo moja refu lina minara mingi na jengo la pemben lina minara hicyohivyo nilitegemea kwa sababu ni juu signal zinasoma fasta labda minara isiwe mingi.Au hiyo nayoiona rooftop sio minara hii tunayoijua labda hio ina kazi nyingine tu.
Screenshot_20260327-192532_Chrome.jpg
 
Inamaana mtaa huo una watumiaji wengi wa huduma za mtandao pia wapo heavy users kwa maana ya ofisi na kampuni kubwakubwa ,hivyo unaweza kukuta provider mmoja ana minara zaidi ya mmoja eneo hilo hilo
 
Mnara lazima uwe mrefu, ile kuwepo kwa jengo refu unasaidia kupunguza idadi ya machuma kutengeneza mnara. Kuwepo na minara mingi inawezekana ni makubaliano ya kibiashara kati ya mwenye jengo refu, mhitaji huduma na mtoa huduma.​
 
Unakuta kwenye resident buildings pemben kuna hotel pemben kuna jengo lingine refu ila yote ya minara kibao ni ya kazi gani hiyo. Na je ni ma provider wa telecommunications ndo wanayoiweka au ni wamiliki wa jengo husika...kwa sababu mtaani tunaona mnara mmoja tu unahudumia karibu mtaa mzima iweje jengo moja refu lina minara mingi na jengo la pemben lina minara hicyohivyo nilitegemea kwa sababu ni juu signal zinasoma fasta labda minara isiwe mingi.Au hiyo nayoiona rooftop sio minara hii tunayoijua labda hio ina kazi nyingine tu.View attachment 3563354
Ndege,
Nitakujibu kitaalamu kabsa...

Kwanza ningetaka kujua hiyo picha ni ya Tanzani? Kama ndio hewala...

Kwanza kwa nini tunaweka minara juu ya majengo mjini.
1. Ufinyu wa maeneo ya wazi kwa maeneo ya mjini.
2. Gharama kubwa ya ardhi kujenga mnara kuanzia ardhini.
3. Uwepo wa majengo marefu hvyo kuathiri mawimbi ya mawasiliano kwa kuwa blocked na kuta nene za majengo.

Sasa tuje kwa nini unaona mitaani minara ni michache. Ili kuelewa hilo tuchukulie mnara kama nyumba za kupanga so kama ukichukulia kama nyumba ya kupanga ina maana kuna baba mwenye nyumba a.k.a landlord. Sasa minara mingi unayoona haimilikiwi na makampuni ya simu kuna kampuni mbili kubwa Tanzania zinazomiliki minara ambazo ni HTT na MINARA. Sasa hao ndio wanapangisha sehemu kwenye minara tigo akija anapewa sehemu, voda, airtel, halotel, ttcl ukija unapangishwa sehemu. Kwa hiyo makampuni ya simu yanamiliki hizo antenna na madishi. Kwa hiyo mnara mmoja unaweza kuwa na kampuni 5 kila mmoja kaweka antenna yake.

Ukija kwenye majengo.

Chukulia jengo ndio mnara. Anayemiliki pale juu ya jengo ndio wale landlord wetu HTT au MINARA so wao makampuni ya simu wakija wanawapa nafasi kuweka antenna zao kila mmoja na nafasi yake. Kwa hiyo hiyo picha ni antenna zipo kwenye jengo sio minara hiyo.

Tuje kwa nini majengo mengi yanakaribiana na kuna minara.

Sababu ni coverage ya network. Utakuta majengo yana tofautiana urefu kwa hiyo network ya antenna hizi zinakuwa blocked na jengo inabidi kuweka antenna kwenye jengo jingine.

Pia muda mwingine utakuta hayo mahego ni ya landlord wawili tofauti (HTT na MINARA) kila mmoja na wateja wake (VODA, TIGO, HALOTEL, TTCL etc)....

Ukishaelewa hapo then uje nikuelezee pia ndani ya baadhi ya majengo kuna antenna mnaishi nazo a.k.a IBS.

ASANTE.
 
Wewe kweli ni telecommunications engineer
 
🫡

Ova
 
Endelea endelea

Tupate cha kuongea kwenye very vijiwe vya gongo huku kakonko - Kigoma Tanzania.
 
Umetisha sana mkuu wa Telecom
 
Back
Top Bottom