mipaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  2. Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

    Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance. Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
  3. T

    Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  4. G

    Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  5. Tanzania na India wajifungia kuujadili uhalifu unaovuka mipaka

    Jeshi la Polisi nchini linaendelea kuchukua tahadhari katika kuzuia uhalifu unaovuka mipaka ukiwemo uhalifu wa mitandao na ugaidi ambapo kupitia ushirikiano wa Tanzania na India wamekubaliana kushirikiana katika nyanja mbalimbali ikiwemo upatikanaji wa mafunzo kwa Askari Polisi na vifaa vya...
  6. Ilikuwa ni busara kuendelea kiujumla na mipaka iliyoachwa na Wakoloni kwa nchi huru za Africa baada ya uhuru?

    Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni. Haya makubaliano ya kiujumla jumla hivi yalikuwa sahihi ukizingatia mipaka ya mataifa ya Africa...
  7. Mashabiki wa Yanga msivuke mipaka mnapotoa ahadi kuhusu mechi za Simba

    Komeo Lachuma, Minjingu Jingu, Labani og, Medecin
  8. Kila mtu yupo na maudhi yake hivyo weka mipaka ya mazoea baina yako na watu wengine ili uishi kwa kuheshimika

    Watu wengi sana wanalalamika mara utasikia "siwezi kumuamini mwanaume/ Mwanamke maishani mwangu" , mwengine anasema binadamu wabaya,wengine wanasema "usimuamini mtu yeyote " n.k lakini uhalisia wa kauli hizo ni chimbuko lenye maumivu ndani yake. Watu wengi wakipenda huwa wanasahau kwamba...
  9. Kama Rwanda iko interested na mipaka inabidi ijue kuwa Rwanda na Burundi sehemu ya Tanzania

    Angalia hii ramani
  10. Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  11. M

    Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
  12. Kuna GPS App ya kupima na kujua mipaka ya shamba?

    Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
  13. Uingereza na Tanzania kushirikiana kuzuia makosa makubwa yanayovuka mipaka

    Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo. Akizungumza katika ziara ya Maafisa kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania Makao Makuu ya Polisi...
  14. M

    Pre GE2025 UCHAGUZI CHADEMA: WanaCHADEMA unganeni kumtetea Mwenyekiti wenu Mbowe asidhalilishwe, Lissu anavuka Mipaka

    Liwalo na liwe this is too Much!Nikiri mimi ni Shabiki wa Lissu lakini anapoelekea hapana,kama anahama CHADEMA ahame tu namtakia Safari njema asituharibie Taasisi,sisi tutabaki Mashabiki wa CHADEMA hadi mwisho. Hakuna asiyefahamu Mchango wa Mbowe kwenye Siasa za Upinzani Tanzania kama yupo...
  15. Haji Manara ni nani hapa Tanzania hadi kuwadhalilisha Askari Magereza na wafungwa bila kuchukuliwa hatua?

    Huyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa. Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao...
  16. G

    Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  17. M

    Kila mtu mpe mipaka katika kumuamini, usimuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika

    Yawezekana unakonda na kukosa raha huku ukifikiria hivi kweli fulani ndio kanifanyia hivi? Jibu ni ndio huyo ni yeye halisi na wala hawamzingizii bali huo ndio uhalisia wake. Kosa lipo kwako kumuamini zaidi ya anavyostahili kuaminika, Ulimuamini zaidi ya jinsi alivyo ndio maana kafanya vile...
  18. G

    Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  19. M

    TANESCO wekeni mipaka au Bicon kwenye maeneo ya miradi mikubwa kuepuka kuwabomolea wananchi nyumba zao hapo baadae

    Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni kwamba maeneo ya mwisho wa mipaka yenu huleta mizozo mingi na wananchi. Hata kama mradi wa kujenga...
  20. RC Kitwana akagua mipaka ya Mikoa kwa kutumia Helikopta

    Wakuu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustapha, amefanya ziara na kukagua maeneo mbalimbali ndani ya Mkoa wa Mjini kwa kutumia helikopta. Na si hivyo tu, akaenda mbali zaidi kuangalia mipaka ya mkoa huo, pamoja na mikoa mingine ya Kusini na Kaskazini ya Unguja. Hii inamaanisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…